Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haaa muoneUtakula uache mchumba
Mm nataka unikatie viuno tu nimwage tui la nazi😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa muoneUtakula uache mchumba
Mm nataka unikatie viuno tu nimwage tui la nazi😋😋
Ha haaa muone
Naomba unideep mahabuba nipate namba yako😋😋😋Ha haaa muone
Sina simu myNaomba unideep mahabuba nipate namba yako😋😋😋
Sina simu my
Simu nitakupa mie mchumba achana na wabara hawajui magna😋😋Sina simu my
Njoo nikuuzie FuoniNatafuta kiwanja zanzibar
Usije ukanitapeliNjoo nikuuzie Fuoni
WaTanganyika kwakweli tunazingua tuache uboya yan ng'ombe wetu lakini maziwa wanakunywa WazenjiMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme kisiwani humo ambapo zitaaza rasmi Januari 20, mwaka huu.
View attachment 3206161
Kwa mujibu wa Zura, ilipokea maombi ya kubadilisha bei za umeme kutoka Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya matumizi ya umeme Zanzibar.
Taarifa iliyotolewa na Zura leo Januari 18, 2025, bei hizo zimetoa punguzo la Sh190 kwa watumiaji wadogo ambao walikuwa wakilipa Sh480 kwa uniti kila wanapovuka matumizi ya uniti 50 kwa mwezi ambapo kwa sasa watalipa Sh290 badala ya Sh480.
Meneja wa kitengo cha Uhusiano Zura, Mbaraka Haji amesema tozo ya kutoza huduma kwa watumiaji wadogo kuanzia unit 0 hadi 50 itaendelea kuwa Sh2,100 huku bei ya kuungiwa kwa uniti moja ikiongezeka kutoka Sh79 hadi Sh84.
Wateja wenye matumzi ya kawaida wenye matumzi ya uniti moja hadi 1,500 bei ya kuungiwa kwa uniti moja imepanda kutoka Sh266 hadi Sh280 huku kila uniti inayoongezeka ikitoka Sh288 hadi Sh310 na tozo ya kutoa huduma itaendelea kuwa Sh2100.
Wala wasiwasi wako tu, document zipoUsije ukanitapeli
NakujaWala wasiwasi wako tu, document zipo
Nenda kafanye "land reclamation" unguja kuleNatafuta kiwanja zanzibar
Bila kibali? Hakuna mtu atanifukuzaNenda kafanye "land reclamation" unguja kule
KaribuNakuja
Lazima uwe na kibaliBila kibali? Hakuna mtu atanifukuza