Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Umepona bila kwenda hospital?
Sikupata dalili kali sana namshukuru Mungu kwa hilo. Ila changamoto kubwa ipo kwenye upumuaji hasa pale mbavu zinapobana na mapafu kuvimba.
 
Inaonekana Zenji kunauongozi imara kuliko bara.
 
Sikupata dalili kali sana namshukuru Mungu kwa hilo. Ila changamoto kubwa ipo kwenye upumuaji hasa pale mbavu zinapobana na mapafu kuvimba.
Pole mkuu

Ile mbinu ya kujifukiza imeleta matunda yeyote ulivyoitumia?
 
Mwezi wa Ramadhan kwa Waislam ni mwezi wa toba. Kusema ukweli ni moja ya mambo muhimu. Hawana sababu ya kudanganya. Mungu wasaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar waache kutupuuza....hatuna imani na vifaa vya mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…