Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Sikupata dalili kali sana namshukuru Mungu kwa hilo. Ila changamoto kubwa ipo kwenye upumuaji hasa pale mbavu zinapobana na mapafu kuvimba.
Pole mkuu

Ile mbinu ya kujifukiza imeleta matunda yeyote ulivyoitumia?
 
safi sana smz endeleeni kutoa hizi update ni muhimu sana kwa wananchi na nchi kwa ujumla ...

bara wao bado ila mtambue tu who watakuja kutoa vyeti kwa nchi zote zilizotoa ushilikiano kipindi cha janga hili na hapo ndio tutatafutana maana hakuna mtalii au msaada utaupata bila ya kuwa na certificate yao.
Mwezi wa Ramadhan kwa Waislam ni mwezi wa toba. Kusema ukweli ni moja ya mambo muhimu. Hawana sababu ya kudanganya. Mungu wasaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
znz.jpg
 
Zanzibar waache kutupuuza....hatuna imani na vifaa vya mabeberu
 
Back
Top Bottom