www19
Senior Member
- Apr 29, 2020
- 140
- 205
Tanganyika ndio wapi Mkuu?Takwimu za maambukizi mapya huku Tanganyika mbona hazitolewi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanganyika ndio wapi Mkuu?Takwimu za maambukizi mapya huku Tanganyika mbona hazitolewi tena?
Umepona bila kwenda hospital?Ugonjwa upo chukua tahadhari. Mimi mwenyewe nilikua nachukulia poa mpaka nilipoambukizwa ndio nikajua huu ugonjwa upo.
Wanatuona mapoyoyo waache wajifunze kitukwa issue ya papai zenji wameipuuza
Sikupata dalili kali sana namshukuru Mungu kwa hilo. Ila changamoto kubwa ipo kwenye upumuaji hasa pale mbavu zinapobana na mapafu kuvimba.Umepona bila kwenda hospital?
Tunasubiri zito kabwe alete takwimu za TanganyikaTanzania bara hatuna waziri wa afya!
Zanzibar haina border kuna border za Tanzania na jeshi moja.Ni muda muwafaka kwa Zanzibar kufunga mpaka wake na Tanganyika.
Kwani unembiwa wagonjwa wametokea Bara?Ni muda muwafaka kwa Zanzibar kufunga mpaka wake na Tanganyika.
Nchi ndogo itayoonesha ushirikiano mzuri na WHO ndio zitaneemekaKwa hiyo nchi yenye kesi nyingi ndo itakayopata watalii wengi.
Shirikisha dawa gani ulitumia hata kupona?Ugonjwa upo chukua tahadhari. Mimi mwenyewe nilikua nachukulia poa mpaka nilipoambukizwa ndio nikajua huu ugonjwa upo.
Pole mkuuSikupata dalili kali sana namshukuru Mungu kwa hilo. Ila changamoto kubwa ipo kwenye upumuaji hasa pale mbavu zinapobana na mapafu kuvimba.
Nilitumia Aspirin kupunguza maumivu. Nikatumia natural remedies kama kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao, chai ya tangawizi na asali. Matunda na juice kwa wingi bila kusahau mazoezi kwa wingiShirikisha dawa gani ulitumia hata kupona?
Pole mkuu
Ile mbinu ya kujifukiza imeleta matunda yeyote ulivyoitumia?
Mwezi wa Ramadhan kwa Waislam ni mwezi wa toba. Kusema ukweli ni moja ya mambo muhimu. Hawana sababu ya kudanganya. Mungu wasaidiesafi sana smz endeleeni kutoa hizi update ni muhimu sana kwa wananchi na nchi kwa ujumla ...
bara wao bado ila mtambue tu who watakuja kutoa vyeti kwa nchi zote zilizotoa ushilikiano kipindi cha janga hili na hapo ndio tutatafutana maana hakuna mtalii au msaada utaupata bila ya kuwa na certificate yao.