Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Huku Bara wizara iko kimya. Wapedwa wanahabari kwa nini hamfanyi kazi yenu na kumdadisi waziri atoe tarakimu za mwisho?

Kazi hiyo mnamuachia mwandishi wa BBC aliye Dodoma? Nyinyi kazi yenu ni kuwa govt spokes persons tu? Kunukuu tu yaliyosemwa na wakuu?
 
Tuna dawa jiwe alituma ndege yake private ikafate mzigo, mbona hawapewi? Au ile ni ya watanzania bara pake yake?
 
Sasa hivi tunapita tu, hatuna haja ya Mask😷😷😷😷.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongeren sana mnaoandika mwenyewe, mnajadiliana wenyewe na namna ya kujadili, mmejificha kwenye kachumba, mnajadiliana namna ya kuhakikisha Mambo na mikakati ya Kitaifa eti isiende.

Mashetani wakubwa tayari mmeshindwa kutwa kufurahia Watu wakiongezeka kwa kuambukizwa virusi vya Corona.

Nyie hamtafautiani na watengeneza virusi vya Corona maana hamfai. Ningekuwa ni Askari ningewasaka na kuwanyonya K zenu pumbavu sana nyie mliojificha chumbani.
 
Kukosa uwazi na weledi kwenye masuala ya kitaifa kunatuweka mahali pabaya sana.

Kwenye ubao wa kimataifa sasa visa vya Corona vimeongezeka hadi 509 lakini sidhani kama hadhira ya watanzania wanajua hilo.

 
Wewe ndiyo haupo update mkuu, znz walitoa idadi yao na idadi ya watu waliopimwa, tz bara wizara ilisema hawatoi idadi kutokana na maabara ipo kwenye uchunguzi
 
ilipkuwa 487 waliopimwa walikuwa kama 660 sikun wakipima 50,000 nakuhakikishia wenye virus watakuwa 48000, acha tu wanyamaze kimya kufukiafukia hili tatizo kama mbuni anavyoficha kichwa mchangani akidhani haonekani na limwili lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…