encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 515
- 405
UmedanganywaNimeambiwa wametoka Tanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmedanganywaNimeambiwa wametoka Tanganyika.
Si Maabara ya taifa kipimo kilizingua? 😕Takwimu za maambukizi mapya huku Tanganyika mbona hazitolewi tena?
Hakuna maambukizi mapya! Osha mikono kwa sanataizaTanzania Bara je?
ItakuwaTuna dawa jiwe alituma ndege yake private ikafate mzigo, mbona hawapewi? Au ile ni ya watanzania bara pake yake?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi kwanini Tanganyika tunakuwa roho mbaya namna hii?! Yaani wakati sisi tumefanikiwa kudhibiti hili gonjwa kwa 100% na hivi sasa hatuna kabisa maambukizi lakini tunashindwa kuwasaidia ndugu zetu Wazanzibar ili na wao wasiwe na maambukizi kama sisi?!
Ama kweli kikulacho kinguoni mwako!
Sema na nyinyi Wazanzibar mmezidi ubishi... yaani ubishi wa CCM na CUF mnataka kuuleta hadi kwenye serious issues!
Ndugu zenu tumewambia muanze kupiga nyungu dozi kutwa mara tatu lakini hamsikii!!
Shauri yenu, wenzenu tunapeta tu, na kwa ushenzi tu hivi sasa ile mimashine yao ya kupimia tushaisokomeza mifenesi na miparachichi... dadeki; sisi hao!! Hapana chezea vijukuu vya Kamanda Kinjekitile Ngwale wewe!!
Hongeren sana mnaoandika mwenyewe, mnajadiliana wenyewe na namna ya kujadili, mmejificha kwenye kachumba, mnajadiliana namna ya kuhakikisha Mambo na mikakati ya Kitaifa eti isiende.safi sana SMZ endeleeni kutoa hizi update ni muhimu sana kwa wananchi na nchi kwa ujumla ...
bara wao bado ila mtambue tu who watakuja kutoa vyeti kwa nchi zote zilizotoa ushilikiano kipindi cha janga hili na hapo ndio tutatafutana maana hakuna mtalii au msaada utaupata bila ya kuwa na certificate yao.
Maabara inayosema papai lina korona ni ya kuchunguzaWewe ndiyo haupo update mkuu, znz walitoa idadi yao na idadi ya watu waliopimwa, tz bara wizara ilisema hawatoi idadi kutokana na maabara ipo kwenye uchunguzi
Kujua hali ya mwenendo wa maambukizi itakusaidia nini wewe na familia yako?Data (cases) zitakusaidia nn wewe in a familia yako?