jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 May 10, 2020 #81 Hizo data wamejaza kwenye sehemu ya "KWA MATUMIZI YA OFISI TU"
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 May 10, 2020 #82 fazili said: Kujua hali ya maambukizi itakusaidia nini wewe na familia yako? Click to expand... Kwa mtazamo wako haikua hata na maana ya kutangaza kuwa kuna covid-19.
fazili said: Kujua hali ya maambukizi itakusaidia nini wewe na familia yako? Click to expand... Kwa mtazamo wako haikua hata na maana ya kutangaza kuwa kuna covid-19.
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 May 10, 2020 #83 fazili said: Kujua hali ya mwenendo wa maambukizi itakusaidia nini wewe na familia yako? Click to expand... jogi said: Kwa mtazamo wako haikua hata na maana ya kutangaza kuwa kuna covid-19. Click to expand... Hapana nilikuwa namjibu joshua hapo juu.
fazili said: Kujua hali ya mwenendo wa maambukizi itakusaidia nini wewe na familia yako? Click to expand... jogi said: Kwa mtazamo wako haikua hata na maana ya kutangaza kuwa kuna covid-19. Click to expand... Hapana nilikuwa namjibu joshua hapo juu.
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 May 10, 2020 #84 fazili said: Hapana nilikuwa namjibu joshua hapo juu. Click to expand... Umemjibu bila kuelewa umejibu nini, nami nikakukumbusha upaswayo kuyakumbuka kabla ya kujibu ulivyomjibu.
fazili said: Hapana nilikuwa namjibu joshua hapo juu. Click to expand... Umemjibu bila kuelewa umejibu nini, nami nikakukumbusha upaswayo kuyakumbuka kabla ya kujibu ulivyomjibu.
MR MAJANGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 3,444 Reaction score 10,687 May 10, 2020 #85 FRANCIS DA DON said: Maabara inayosema papai lina korona ni ya kuchunguza Click to expand... Wakuchunguzwa aliyepeka papai
FRANCIS DA DON said: Maabara inayosema papai lina korona ni ya kuchunguza Click to expand... Wakuchunguzwa aliyepeka papai
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 May 10, 2020 #86 fazili said: Kukosa uwazi na weledi kwenye masuala ya kitaifa kunatuweka mahali pabaya sana. Kwenye ubao wa kimataifa sasa visa vya Corona vimeongezeka hadi 509 lakini sidhani kama hadhira ya watanzania wanajua hilo. Click to expand... ZAnzibar
fazili said: Kukosa uwazi na weledi kwenye masuala ya kitaifa kunatuweka mahali pabaya sana. Kwenye ubao wa kimataifa sasa visa vya Corona vimeongezeka hadi 509 lakini sidhani kama hadhira ya watanzania wanajua hilo. Click to expand... ZAnzibar