Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Hizo data wamejaza kwenye sehemu ya "KWA MATUMIZI YA OFISI TU"
 
Kukosa uwazi na weledi kwenye masuala ya kitaifa kunatuweka mahali pabaya sana. Kwenye ubao wa kimataifa sasa visa vya Corona vimeongezeka hadi 509 lakini sidhani kama hadhira ya watanzania wanajua hilo.
ZAnzibar
 
Back
Top Bottom