Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamo wako haikua hata na maana ya kutangaza kuwa kuna covid-19.Kujua hali ya maambukizi itakusaidia nini wewe na familia yako?
Kujua hali ya mwenendo wa maambukizi itakusaidia nini wewe na familia yako?
Hapana nilikuwa namjibu joshua hapo juu.Kwa mtazamo wako haikua hata na maana ya kutangaza kuwa kuna covid-19.
Umemjibu bila kuelewa umejibu nini, nami nikakukumbusha upaswayo kuyakumbuka kabla ya kujibu ulivyomjibu.Hapana nilikuwa namjibu joshua hapo juu.
Wakuchunguzwa aliyepeka papaiMaabara inayosema papai lina korona ni ya kuchunguza
ZAnzibarKukosa uwazi na weledi kwenye masuala ya kitaifa kunatuweka mahali pabaya sana. Kwenye ubao wa kimataifa sasa visa vya Corona vimeongezeka hadi 509 lakini sidhani kama hadhira ya watanzania wanajua hilo.