Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

Akaishi na watoto kwenye nyumba yake sasa hapo mondi ndo inakuwaje[emoji23][emoji23]
 
Ivi mali za Ivan zilikuwa chache kuliko za Dai ambapo Zari alishawishika kumuacha Ivan na kwenda kwa Dai?
Ebu nifafanulieni wakuu
Itakuwa hakuwa na control asilimia Mia ya mali za Ivan ndo maana akasepa, now ivan hayupo, Zari lazima aone ahueni.
 
Hebu muwe na akili za kuwaza nje ya box!walivyosema akaishi na watoto kwenye nyumba moja wapo wamemaanisha hawajambagua kuwa asiishi kwenye nyumba za Ivan maana ndiye mama yao ila hawajamlazimisha eti lazima akaishi pale na watoto,wabongo kwa kuwaombea wenzao matatizo huwa wako very active!
 
Duh... Hii habari itakuwa inamuuma sana yule dada wa Marekani
 
Huyu dada ni mzuri sana kwa sura + ana uwezo mzuri wa kuzaa sijui kwa 6x6...... btw % kubwa mnaojadili haya mambo akili zenu zipo kwa holiday. """Zari achaguliwa........""" so what!
 

Kwakuwa Diamond ni mtoto sana kwa Zari basi hapo wamemaanisha Diamond atajiunga na watoto wenzie wa Zari +Tiffa + Nilan kuishi pamoja jumba la Ivan , au Nimelewa vibaya?
 
Yani mi naona bora Dai atafute mke aoe atulie sioni maisha mbele na Zari,
 
Jamani tumuiteni shemeji yetuu yuleeeee



[HASHTAG]#HAMISA[/HASHTAG]_MOBETO






In shilawadu voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…