M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Akaishi na watoto kwenye nyumba yake sasa hapo mondi ndo inakuwaje[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa hakuwa na control asilimia Mia ya mali za Ivan ndo maana akasepa, now ivan hayupo, Zari lazima aone ahueni.Ivi mali za Ivan zilikuwa chache kuliko za Dai ambapo Zari alishawishika kumuacha Ivan na kwenda kwa Dai?
Ebu nifafanulieni wakuu
Jamaa kaufyata kama hayupo Makeke yote kwishne. Kwa hii taswira mpya ya Zari, anatakiwa ajitathmini sana la sivyo ataangukia pua.mondiiiiii je?
Vyuo gani hivyo hata ukivigugo havipatikaniShule si biashara?? Vyuo vitano unakuwaje masikini...
Kamati ya watu 4 yachaguliwa kusimamia mali za marehemu Ivan Ssemwanga mpaka watoto wake watakapofikisha miaka 18.
Zari Hassan ndiye msimamizi mkuu ambaye ametakiwa kusimamia shule za Ivan zilizoko Afrika Kusini kikiwemo chuo cha Brooklyn na pia nyumba mbili za Ivan zilizoko Sandton na Pretoria. Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe.
Wengine waliochaguliwa ni;
- Ritah Ssemwanga(Dada wa Ivan)
- George Ssemwanga ambae ni kaka mkubwa wa Ivan
- Lawrence Muyanja(Maarufu kama King Lawrence)
comment bora kwenye huu uziKwakuwa Diamond ni mtoto sana kwa Zari basi hapo wamemaanisha Diamond atajiunga na watoto wenzie wa Zari +Tiffa + Nilan kuishi pamoja jumba la Ivan , au Nimelewa vibaya?
domo asipoangalia huyu Zari atamzimisha ili awe mrithi kotekoteWanajua kabisa hatoweza lazima ailete madale ipigwe na hapo ndio jamaa watamkamatia chini.
Wewe usingetaka.!!??Ndicho alichotaka
Jr mahana yake ni niniMzigo wote atauhamishia kwa dangote Jr
Ni vyuo vya ufundi auVyuo gani hivyo hata ukivigugo havipatikani
Maisha ni nini?Yani mi naona bora Dai atafute mke aoe atulie sioni maisha mbele na Zari,