Kwa hamisa mobeto.Diamond anakaa wapi?
[emoji23] [emoji111] [emoji24]Kwakuwa Diamond ni mtoto sana kwa Zari basi hapo wamemaanisha Diamond atajiunga na watoto wenzie wa Zari +Tiffa + Nilan kuishi pamoja jumba la Ivan , au Nimelewa vibaya?
Yani ametishaa Mkuu[emoji3] [emoji111]comment bora kwenye huu uzi
andika brooklyn city college south africa...kuna branches nane s.africaNi vyuo vya ufundi au
TobaaaKwakuwa Diamond ni mtoto sana kwa Zari basi hapo wamemaanisha Diamond atajiunga na watoto wenzie wa Zari +Tiffa + Nilan kuishi pamoja jumba la Ivan , au Nimelewa vibaya?
Yaani Zari ni mtu mzima yani ni kama kashamaliza anachohitaji sasa ni kutulia na kulea na kuwatafutia watoto wake basi Dai bado mdogo ndiyo anaanza maisha ndiyo maana naona bora atafute mwanamke anayeendana naye waanzinshe familia na kujenga maisha yao,Maisha ni nini?
Daah sijui hata uliwaza nini[emoji2] [emoji2]Kwakuwa Diamond ni mtoto sana kwa Zari basi hapo wamemaanisha Diamond atajiunga na watoto wenzie wa Zari +Tiffa + Nilan kuishi pamoja jumba la Ivan , au Nimelewa vibaya?
Hiyo inaitwa mjini shule[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona aliambiwa kama anataka awe msimamizi basi akaishi na watoto kwenye nyumba ya marehemu baba yao, mtego huo ina maana diamond akienda kuishi hapo Zari ananyanganywa mandate. Chezea pesa wewe. Diamond lile hekalu ulilonunua south zari alipokudanyanya nyumba wanayoishi ni ya kupanga, Ivan hana nyumba. Leo Zari kaumbuka. Ndo maana Diamond leo kampost mama yake na kusema ni his real woman of his Life.
Yani Zari kibokoMwana mke jasiri huyu sasa lile povu la mondi kusema ivan hana nyumba ilikuaje lakini si mbaya tifa na nillan nao wananyumba yao south
Unajua zari alikotoka na Ivan?Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo[emoji23] [emoji23]
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Wabongo kwa kupangia Wenzenu maisha hamjambo,Dai si alikua na wema and all types of chicks,umeona maisha yake yalivyopanda baada ya kuwa na Zari?Yaani Zari ni mtu mzima yani ni kama kashamaliza anachohitaji sasa ni kutulia na kulea na kuwatafutia watoto wake basi Dai bado mdogo ndiyo anaanza maisha ndiyo maana naona bora atafute mwanamke anayeendana naye waanzinshe familia na kujenga maisha yao,
Hahahahhahahahahah you made my fucking day manNadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo[emoji23] [emoji23]
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Hahahahhahahhahahahhahahahahahahahahhaahhahahahhahahahhahahahahajhahahajhajajajjajajajajajajajjajajhahahahhahahahhahahahahahhahahhahaahahahahhahahahahahhah....Kwakuwa Diamond ni mtoto sana kwa Zari basi hapo wamemaanisha Diamond atajiunga na watoto wenzie wa Zari +Tiffa + Nilan kuishi pamoja jumba la Ivan , au Nimelewa vibaya?