Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

Maisha ni nini?
Yaani Zari ni mtu mzima yani ni kama kashamaliza anachohitaji sasa ni kutulia na kulea na kuwatafutia watoto wake basi Dai bado mdogo ndiyo anaanza maisha ndiyo maana naona bora atafute mwanamke anayeendana naye waanzinshe familia na kujenga maisha yao,
 
Mwana mke jasiri huyu sasa lile povu la mondi kusema ivan hana nyumba ilikuaje lakini si mbaya tifa na nillan nao wananyumba yao south
 
Naona aliambiwa kama anataka awe msimamizi basi akaishi na watoto kwenye nyumba ya marehemu baba yao, mtego huo ina maana diamond akienda kuishi hapo Zari ananyanganywa mandate. Chezea pesa wewe. Diamond lile hekalu ulilonunua south zari alipokudanyanya nyumba wanayoishi ni ya kupanga, Ivan hana nyumba. Leo Zari kaumbuka. Ndo maana Diamond leo kampost mama yake na kusema ni his real woman of his Life.
Hiyo inaitwa mjini shule[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo[emoji23] [emoji23]
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Unajua zari alikotoka na Ivan?
Unadhani zari kafata pesa kwa Dai?
 
Yaani Zari ni mtu mzima yani ni kama kashamaliza anachohitaji sasa ni kutulia na kulea na kuwatafutia watoto wake basi Dai bado mdogo ndiyo anaanza maisha ndiyo maana naona bora atafute mwanamke anayeendana naye waanzinshe familia na kujenga maisha yao,
Wabongo kwa kupangia Wenzenu maisha hamjambo,Dai si alikua na wema and all types of chicks,umeona maisha yake yalivyopanda baada ya kuwa na Zari?
Zari is the right woman for him,ametulia kiakili na kimaisha
 
Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo[emoji23] [emoji23]
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Hahahahhahahahahah you made my fucking day man
 
Kwakuwa Diamond ni mtoto sana kwa Zari basi hapo wamemaanisha Diamond atajiunga na watoto wenzie wa Zari +Tiffa + Nilan kuishi pamoja jumba la Ivan , au Nimelewa vibaya?
Hahahahhahahhahahahhahahahahahahahahhaahhahahahhahahahhahahahahajhahahajhajajajjajajajajajajajjajajhahahahhahahahhahahahahahhahahhahaahahahahhahahahahahhah....

We jamaa mandazi sana utaniua kwa kichekooo
Hahahahhahhh
 
Mapenzi hayachagui umri...,wana yao na yanakwenda kama yalivyopangwa.....mondi si mjinga kuishi na zari mjue!
 
Mapenzi hayachagui.... Wanayao wale na yanakwenda kama yalivyopangwa ,mondi si zuzu kuishi na zari!
 
Back
Top Bottom