Zari afulia ,avaa BALENCIAGA FEKI Za elfu 10 ,10 Kkoo.

Mkuu mtoa post wewe ni ke au me?

Samahani lakini
 
Unaelewa unachokitetea?????

Nimezungumzia Balenciaga alizozivaa kwenye picha hiyo hapo sijazungumzia viatu alivyowahi kuvivaa miaka hiyo.
 
Mleta mada amekurupuka, Zari amelipwa zaidi ya milioni 80 kwa ajili ya kutangaza na kuwa balozi wa utalii Uganda alarm avae viatu feki
Wakati analipwa hizo pesa ulikuwepo???

BTW nimezungumzia viatu alivyovivaa hapo.
 
Mkuu wewe ni noma, huwa napenda mtu mwenye uthibitisho kama huu wako sio porojo tuu.
 
Kwahiyo na hiyo blouse na viatu alivyovaa Kim kadashian navyo utasema kafulia..?
 
Picha alizozivaa miaka ganj? kumbe hata hujui unafuatilia juu juu na umbea unakuja mbio.. Siku zaiidi ya tatu uliambiwa kavaa balenciga hiyo hiyo moja.
Hiyo picha ya kiatu kingine kwenye process hiyohiyo ya kutangaza utalii siku ya nyuma kabla
Na naomba unitajie vitu japo vitatu kwenye hiyo balenciaga kudihirisha ni fake..

Nasubiri jibu
Unaelewa unachokitetea?????

Nimezungumzia Balenciaga alozozivaa kwenye picha hiyo hapo sijazungumzia viatu alivyowahi kuvivaa miaka hiyo.
 
Hivi unajielewa kweli??????

Nimekwambia hivyo viatu mbali na hiyo Balenciaga feki alishawahi kuvivaa dhamani kabla hata Ivan hajafa ,hapo amefanya kuvirudia.

Ni sawa na wewe uvae nguo au kiatu ambacho ushawahi kuvivaa zamani.

Zari tangu aachwe na Diamond ameyumba sana kibiashara kwa sababu alikuwa anatumia sana mgongo wa diamond kujineemesha kibiashara.
 
Nioneshe hiyo picha niione
 
Kwa taarifa yako tangu Zari aachane na diamond amepiga madili mengi ya mkwanja mrefu
-Software diaper
-Amehost Africa change awards
-Amefanya renovation ya chuo chake branch ya medical
-alikuwa Matron wa miss Uganda 2018
- amekuwa brand ambassador wa Uganda tourism sector
-- mwenzi January Kanye West anarud anarudi Uganda yeye na Zari watafanya project ya digital transformation ya utalii wa Uganda
 
Hans nasubiri picha ya zari aliyovaa hivo viatu kabla [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndicho kinachotokea kwa mwanaume wa leo.Kuna mengi ya kujadili kama mwanaume ila sio ufala kama wa huyu mtoa post.KWENYE NCHI YA WANAUME HUYU TUNGESHAMPIGA SHABA YA KICHWA,NA MWILI TUNGEWAPA SAMAKI WALE.
Kwa nini usimpige diamond badala ya shaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…