Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa unachokitetea?????Hans umekurupuka angalia hapa
Usimfananishe zari na wengineo utaumia..umesema og elfu sabini ukiconvert 78- 95usd kibongo ni bei gani vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia angalia viatu alivyovyaa kabla usd 950 ni sawa na sh ngapi za kitz vile?? Ni zaidi ya million mbili... So huyu dada humuwezi rudi kwa akina uwoya na wemaView attachment 928342View attachment 928343View attachment 928344
Ningekua sina Mme ningekua na uhusiano na hance mtanashati
Wakati analipwa hizo pesa ulikuwepo???Mleta mada amekurupuka, Zari amelipwa zaidi ya milioni 80 kwa ajili ya kutangaza na kuwa balozi wa utalii Uganda alarm avae viatu feki
Mkuu wewe ni noma, huwa napenda mtu mwenye uthibitisho kama huu wako sio porojo tuu.Hans umekurupuka angalia hapa
Usimfananishe zari na wengineo utaumia..umesema og elfu sabini ukiconvert 78- 95usd kibongo ni bei gani vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia angalia viatu alivyovyaa kabla usd 950 ni sawa na sh ngapi za kitz vile?? Ni zaidi ya million mbili... So huyu dada humuwezi rudi kwa akina uwoya na wemaView attachment 928342View attachment 928343View attachment 928344
Mleta mada ni Mobeto hpo yupo kwenye ubora wake na fake IDMkuu wewe ni noma, huwa napenda mtu mwenye uthibitisho kama huu wako sio porojo tuu.
Mmmmh utajuaje kama haing'ai kwa picha tu?Muonekano tu wake tu unaonesha ni feki ,zile OG huwa zinang'aa sana halafu zinabana mguu.
Unaelewa unachokitetea?????
Nimezungumzia Balenciaga alozozivaa kwenye picha hiyo hapo sijazungumzia viatu alivyowahi kuvivaa miaka hiyo.
Hivi unajielewa kweli??????Picha alizozivaa miaka ganj? kumbe hata hujui unafuatilia juu juu na umbea unakuja mbio.. Siku zaiidi ya tatu uliambiwa kavaa balenciga hiyo hiyo moja.
Hiyo picha ya kiatu kingine kwenye process hiyohiyo ya kutangaza utalii siku ya nyuma kabla
Na naomba unitajie vitu japo vitatu kwenye hiyo balenciaga kudihirisha ni fake..
Nasubiri jibu
Hivi unajielewa kweli??????
Nimekwambia hivyo viatu mbali na hiyo Balenciaga feki alishawahi kuvivaa dhamani kabla hata Ivan hajafa ,hapo amefanya kuvirudia.
Ni sawa na wewe uvae nguo au kiatu ambacho ushawahi kuvivaa zamani.
Zari tangu aachwe na Diamond ameyumba sana kibiashara kwa sababu alikuwa anatumia sana mgongo wa diamond kujineemesha kibiashara.
Kwa taarifa yako tangu Zari aachane na diamond amepiga madili mengi ya mkwanja mrefuHivi unajielewa kweli??????
Nimekwambia hivyo viatu mbali na hiyo Balenciaga feki alishawahi kuvivaa dhamani kabla hata Ivan hajafa ,hapo amefanya kuvirudia.
Ni sawa na wewe uvae nguo au kiatu ambacho ushawahi kuvivaa zamani.
Zari tangu aachwe na Diamond ameyumba sana kibiashara kwa sababu alikuwa anatumia sana mgongo wa diamond kujineemesha kibiashara.
Thibitisha, au ulitaka kupost tu hiko ki clip tu basi ila ukakosa maneno ya kuweka?
Hivi unajielewa kweli??????
Nimekwambia hivyo viatu mbali na hiyo Balenciaga feki alishawahi kuvivaa dhamani kabla hata Ivan hajafa ,hapo amefanya kuvirudia.
Ni sawa na wewe uvae nguo au kiatu ambacho ushawahi kuvivaa zamani.
Zari tangu aachwe na Diamond ameyumba sana kibiashara kwa sababu alikuwa anatumia sana mgongo wa diamond kujineemesha kibiashara.
Kwa nini usimpige diamond badala ya shabaNdicho kinachotokea kwa mwanaume wa leo.Kuna mengi ya kujadili kama mwanaume ila sio ufala kama wa huyu mtoa post.KWENYE NCHI YA WANAUME HUYU TUNGESHAMPIGA SHABA YA KICHWA,NA MWILI TUNGEWAPA SAMAKI WALE.
Huwa wanaliwa marinda kama kawa..watu hawaangalii makunyanzi mkuuUtakuta mleta mada ana mwili kama hiyo njemba hapo.