Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Umeona insta party walivyoiba picha ya show ya camelion wakaijifanya yakwao

Ngoja niende sasa hivi.Binamu huku ukoje mstaarabu lakini kule mambo yako mazitooo!
Hahahahaa
 
Waliosema dai atazindua tv station yake ni wale wale waliodanganya kwa kutuletea jumba la makumbusho ya kale huko jerusalem na kutuaminisha kwamba ni la ally k na kudanganya kwamba ali amevamiwa usiku ile juzi wakti sio kweli!!

Na ndio.wale wale waliotuambia kwamba diamond amepigwa risasi.
 
Umeona insta party walivyoiba picha ya show ya camelion wakaijifanya yakwao

Hiyo ista party yeye amealikwa na muandaaji ila nashangaa pwanya road wanadai yake huyu madam cjui anashida gani kila ki2 akifanya domo nae anakuja n ujinga wke.chezea nyota inayongara toka tandele
 
Diamond.jpg

Na uvaaji wa namna hiyo. Hapana aisee. Mi bado hunijaniambia niwe fan wa huyu jamaa. Good for him though. Wishing him success in his future endeavours.
 
Waliosema dai atazindua tv station yake ni wale wale waliodanganya kwa kutuletea jumba la makumbusho ya kale huko jerusalem na kutuaminisha kwamba ni la ally k na kudanganya kwamba ali amevamiwa usiku ile juzi wakti sio kweli!!

Na ndio.wale wale waliotuambia kwamba diamond amepigwa risasi.

Kiba amevamiwa kweli mama.Vipi hua hutembelei instagram au twitter?
Maana jana ametoa shukrani zake kwa waliompa pole kwa kuvamiwa.

Mind you...hakutangaza kua alivamiwa ila alitoa shukrani za pole alizokua akizipokea.
 
Si ndo kutangaza kwenyewe..??
Kwani nyie mlijuaje?
 
Back
Top Bottom