Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Mhhhhh wewe ni mtaalam wa pande hizo nini?

hahahaha..wifi yako kaijua id yangu basi tabu tu. Hapa akiingia tu akiona hii comment adhabu yake ni kulala mzungu wa nne mwezi.
 
hahahaha..wifi yako kaijua id yangu basi tabu tu. Hapa akiingia tu akiona hii comment adhabu yake ni kulala mzungu wa nne mwezi.
Safi sana.Na heshima iwepo!
 
Ahahah, au kama kweli ni Tv station itakuwa ni ya mtu mwingine anampigia promo, ndomo hana ushuzi huo

Au labda baba riz amfungulie then asimamie kwa niaba ya wasanii wenzie

TV online is the simple technology. Ni kiasi cha kuwa na studio pamoja na software ya streaming ambayo inakuwa kwenye website yake.Issue itakuja kwa service providers kutoa bandwidth/internet speed ambayo itakuwa realtime ili kufanya live streaming. Tatizo halitakuwepo kwa upande wa TV bali litakuwa kati ya service providers na wateja.Lakini sio technology ya ajabu ambayo haiwezekani!
 
Sio muumini wa timu yoyote ila nimejiridhisha kuwa mtu anaanzisha thread kwa ku angalia upepo ulivyo yeye anakwenda tofauti na ukweli na anavuna likes za kumtosha. Ukiachilia mbali wenye mahaba niue basi inakuwa kazi kweli kweli
 
Hawa wote walilipa elfu hamsini? mkapa alisema fulsa zipo ila hatuzioni namwinyi alisema tatizo tumekalia uchumi.
 
Mhhhhh wewe ni mtaalam wa pande hizo nini?

Hajakosea itakua kweli huyo n kichaa c unajua vichaa ni wengi ila hawajuani,cheki hili limama lenye wajukuu c heri lingevaa ckyupi ili lionekane vizuri yani full HD
 
Attachments

  • 1430579017187.jpg
    1430579017187.jpg
    38.9 KB · Views: 774
Hajakosea itakua kweli huyo n kichaa c unajua vichaa ni wengi ila hawajuani,cheki hili limama lenye wajukuu c heri lingevaa ckyupi ili lionekane vizuri yani full HD

Chefuuuu! Kwanini watu wasilibake huko likome?
 
Hebu niambie hiyo n kyupi au bukta yani heri angekuja 2 kavaa kyupi n sidiria angependeza

Hahahahaa wenyewe wanaita bambino!
Yeye kasikia all white party basi akaamua kuonesha hadi vya ndani ajulikane kua alivaa kila kitu cheupe!
Hata hivyo huhitaji akili ya ziada kujua huyo ni muuza papa tu maana mwanamke mwenye heshima zake hawezi kuvaa hivyo.
 
Wa2 wamefaudu jana kumbe wauza mpapa nao walikuapo
 
Back
Top Bottom