Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Kik tu inatafutwa hapo hamna lolote.
Nani aliyemshauri kuvaa hivyo? Viatu yes, the rest big NO!

Huyo akamwone rayc aanze doz y kuondoa sembe mwilini.huyu sugu aliokota wapi hiyo kichaaa
 
Hivi kwani msanii anapoandaa party au show ni lazima wasanii wengine wote wahudhurie??.Kwani kuhudhuria kwao wanalipwa? ( incase of party ).

Ratiba za watu zipo tofauti,labda Dimpoz na yy anamipango yake ya kuingiza hela sehemu flan so kaamua kwenda.Mlitaka aache kuingiza hela ili akamchangie mwenzake bila yeye kufaidika??.

Sijawahi kuwa shabiki wa Ommy Dimpoz,lakini sidhani kama kutokuhudhuria kwake ni kosa endapo alikuwa na vitu vingine vya kufanya
 
Huyo akamwone rayc aanze doz y kuondoa sembe mwilini.huyu sugu aliokota wapi hiyo kichaaa

Hata sijui aisee! Mbaya zaidi kazaa nae.
Hizo ndio akili zenu wanaume lakini kwa kuwasema wanawake tu hamjambo.Nyie sijui mwalimu wenu alishakufa?
 
Lets people have fun....kila mtu na starehe yake
Na psychologicaly mtu asiye have fun ana tatizo...ss una have fun kivipi hiyp ni juu yako..
No need kulazimisha mtu apende unachopenda wewe....let thm live their lives..as no one has payed for thm....
 
Kwan nani alimuambia kama show imeanyika ili alinganishwe Zari na Wema? mawazo mengine ayah mgando jaman…!!!.
 
Ngoja waje na wengine walioudhuria watoe nao maoni yao vinginevyo inabaki ile sifa yetu binaadamu kuchukia kitu au mtu kisha ukiulizwa unasema huna sababu ya msingi ila humpendi tu.
 
Mweh wivu umejaa walijuwa ukumbi utapwaya kisa kiingilio kumbe ulifurika
Usilaumu mkwezi Nazi imeliwa na mwezi
Wajipange sio umaarufu wa IG waingize pesa pia km mwenzao
 
ni kweli wakuu zari bado sana kwa wema, wema mzuri na anajua sana,namuunga mkono wema yupo juu sana,nadhani wote mtakubaliana nami hapa au sio wakuu?
 
Hata sijui aisee! Mbaya zaidi kazaa nae.
Hizo ndio akili zenu wanaume lakini kwa kuwasema wanawake tu hamjambo.Nyie sijui mwalimu wenu alishakufa?

Mwalimu we2 mzima ila ndio hvyo mwenzenu kuachika ndio kumeleta wazimu n ukichaa,chezea kuachwa n muheshimiwa ila huyo dada lazma full kichwaa ndio mana anafanya ujinga iko cku atakutana n masela wamle mtungo ndio stress zitaisha
 
....... kama itakua bado lakini!
 
Hili suala la ubunifu bado ni msamiati mgumu kwa wa tanzania na ukija penye uthubutu hapo ndo hatuna chetu vijana wamefanya yao
 
Back
Top Bottom