Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha sasa unamwambia nani matatizo yako mkuu pia sisi tunayo zaidi yako ila yako ya kujitakia.
Pole lakini utafika tu
kaka acha kukariri kwa kudhani vile wewe unavyovuja mijasho kutafuta 10,000/= kwa mwezi ukadhani wote wa hivo wengine tumeshajijengea misingi imara kama ukuta wa berlin ktk maisha,na wewe usiyeingia kwenye starehe unaendelea kuumia na nafuu huipati
Mkuu nimependa sentensi yako hiyo ya "good for him" na kwa umati wa jana nimegundua kuwa kumbe bifu linalazimishwa huku mitandaoni lakini wasanii wenyewe wako full peace watu kibao full nyomi kama tumeingia bure.Mimi ninayeingia kila starehe tamu hapa mjini bado niko juu kimaisha x 1000 kuliko ambao nawajua hawaingii kwenye stareheWe boya kweli....nijinyonge kwan ananiweka mjini yule ?? Atapewa credit na mburulaz like u....ila mpaka naingia kaburini akae akijua mi simkubali hata kdgo. I never will. Good for him.
Mkuu nimependa sentensi yako hiyo ya "good for him" na kwa umati wa jana nimegundua kuwa kumbe bifu linalazimishwa huku mitandaoni lakini wasanii wenyewe wako full peace watu kibao full nyomi kama tumeingia bure.Mimi ninayeingia kila starehe tamu hapa mjini bado niko juu kimaisha x 1000 kuliko ambao nawajua hawaingii kwenye starehe
Kwa kuzingatia na kupoteza muda na kufuatilia matukio ya kipuuzi kama haya....naanza kuamini kuwa watanganyika wengi wana mapungufu ya akili.....
Poa tumekuskia
I am not a type to pretend. Huwez lazmisha mtu akawa ur fan..sawa anapiga pesa na ana mafanikio ila binafsi bado na sidhani kama itakuja wakat ni appreciate kazi zake. NO !!
Basi utakuwa na ........ binafsi!
Sina la kumchukia. He z doin a great job ila Iko hvyo tu. I am not a fan of his.
Unatia huruma
Ukisikia u hanith.i na ushog.a ndio huu unaoleta ww humu kwani nini maana ya forum ?? Kuandika my thoughts ndio naleta matatzo yangu ?? How are my problems connected here ??
Heb sikiza bwana mdgo usitumie kichwa kufugia nywele tu. Na ujue kuna jela na guest. Acha tabia na itikadi za kushadadia wanaume. I am tryna tell u to man up enough nd be logic.