Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu wewe ndo hata hunijui kabisa.
Kuna tofauti kubwa kati ya Depositors na Drawers. Walioenda huko ni Drawers which happen to be many. Najua jamaa anajua na ana kipaji ila binafsi sim feel hata kidogo, honestly i will never be his fan.
Kuna tofauti kubwa kati ya Depositors na Drawers. Walioenda huko ni Drawers which happen to be many. Najua jamaa anajua na ana kipaji ila binafsi sim feel hata kidogo, honestly i will never be his fan.
Sasa naweka sasa
sisi hatuna muda wa kuchezea kama hao walioenda uko sijui hawana kazi za kufanya? Upuuzi mtupu ovyo kabisa. K 4 real daima
we bogus kushinda JF ndio una kazi ya kufanya?
Mkuu uko sahihi kabisa kwamba k4 real akamatiki kama kafikia hatua ANAJIIBIA MWENYEWE UNADHANI HATA POLISI WAKIVIKAMATA HIVO VITU SI ATASEMA NILIAMUA KUVIHAMISHAk 4 real hakamatiki wewe
Kweli vijana wa bongo hawana kazi aisee.
Kaka acha kukariri kwa kudhani vile wewe unavyovuja mijasho kutafuta 10,000/= kwa mwezi ukadhani wote wa hivo wengine tumeshajijengea misingi imara kama ukuta wa Berlin ktk maisha,na wewe usiyeingia kwenye starehe unaendelea kuumia na nafuu huipatiKwa kuzingatia na kupoteza muda na kufuatilia matukio ya kipuuzi kama haya....naanza kuamini kuwa watanganyika wengi wana mapungufu ya akili.....
Nini lengo la hiyo party?why white and not black?
Hivi muafrica anawakilishwa na rangi gani?
Are we slave?
Mmmmmmmmmh....
mtajinyoga mwaka huu mpende vitu vyake super si we uliharibu
Kumbee lakini naina kama unamfeel kimoyomoyo!
Kuna siku utasema!