washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 723
Naipata wapi hii live stream
Kwenye mtandao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipata wapi hii live stream
Kwenye mtandao!
Mzigo unapatikana katika hiyo link hapo chini...wanaoona ni wale waliolipia mpunga wa kushusha mzigo
http://www.zariwhiteparty.com/
Kwa kuzingatia na kupoteza muda na kufuatilia matukio ya kipuuzi kama haya....naanza kuamini kuwa watanganyika wengi wana mapungufu ya akili.....
Unasubir pambano la Ngumi kesho la kidunia na jumanne nina hakika utakuwa unasubr mech juve na madrid wakati jumatano itawasubr Fc Bayern Munich na Barcelona tena utalipia vyote hivi !!!!
Naomba faida unayoipata hapo !!!
Wanarefresh mind so waache wala haina haja ya kuona ni upuuzi hapo
Bob junior ndani
View attachment 248422