Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Hata wale ambao hawakwenda walituma salamu zao za kheri na kutoa udhuru kama vile Prof J, Shishi beyb na wengine!
 
Mkuu hivi huyo dogo wa jana tu unataka kumlinganisha na k 4 real jembe mtanzania pekee aliyepanda pamoja na r.kelly? Kiba ni another level uwezi kumuweka pamoja na underground monds.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Depositors na Drawers. Walioenda huko ni Drawers which happen to be many. Najua jamaa anajua na ana kipaji ila binafsi sim feel hata kidogo, honestly i will never be his fan.

Kumbee lakini naina kama unamfeel kimoyomoyo!
Kuna siku utasema!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Depositors na Drawers. Walioenda huko ni Drawers which happen to be many. Najua jamaa anajua na ana kipaji ila binafsi sim feel hata kidogo, honestly i will never be his fan.

haha sasa unamwambia nani matatizo yako mkuu pia sisi tunayo zaidi yako ila yako ya kujitakia.

Pole lakini utafika tu
 
Kweli vijana wa bongo hawana kazi aisee.

Kama wamelipa kodi inavyotakiwa, kama wametoa ajira kwa watu basi wahakikishe hayo mapato yanainufaisha jamii, sio tena waziegeshe tuu yule Nyoka mwenye makengeza akipita apite nazo.

Ila hata mimi siwezi kukosa kazi hivyo aise, labda kama ingekuwa ni shoo ya Kangamoko ndio ningeenda....tena kusiwe na kiingilio pesa yangu ninunue fegi na chupa mbili za banana....nishangilie weeeeeeee.
 
Kwa kuzingatia na kupoteza muda na kufuatilia matukio ya kipuuzi kama haya....naanza kuamini kuwa watanganyika wengi wana mapungufu ya akili.....
Kaka acha kukariri kwa kudhani vile wewe unavyovuja mijasho kutafuta 10,000/= kwa mwezi ukadhani wote wa hivo wengine tumeshajijengea misingi imara kama ukuta wa Berlin ktk maisha,na wewe usiyeingia kwenye starehe unaendelea kuumia na nafuu huipati
 
Nini lengo la hiyo party?why white and not black?
Hivi muafrica anawakilishwa na rangi gani?
Are we slave?
Mmmmmmmmmh....
 
Nini lengo la hiyo party?why white and not black?
Hivi muafrica anawakilishwa na rangi gani?
Are we slave?
Mmmmmmmmmh....

Ukitaka tufuate uhalisia wala hakuna mwenye rangi nyeupe kwa wanadamu wote ila lengo lako si zuri
 
Stupid party, stupid and jobless people, stupid comments
 
mtajinyoga mwaka huu mpende vitu vyake super si we uliharibu

We boya kweli....nijinyonge kwan ananiweka mjini yule ?? Atapewa credit na mburulaz like u....ila mpaka naingia kaburini akae akijua mi simkubali hata kdgo. I never will. Good for him.
 
Binafsi nimeona kama nimemzulumu diamond na zari kwa 50,000 niliyotoa.haiwezekani raha zote za jana kuanzia burudani ya YAMOTO BAND,venessa , AKA, swaga za diamond na ney wa mitego,uchekeshaji ulienda shule wa Eric Omond, jamaa anachekesha saa zima na bado hadhira haitaki aondoke stejini.
Dah nimesahau kijana anayekuja kwa kasi shettah bila ya kumsahau bob junior yaani ilikuwa IMENUKA.
Mwisho kabisa shoo ya masaa 3 consecutive ya diamond akisindikizwa na khadija kopa,ney wa mitego.
Kwa hakika kupata hivyo vyote kwa 50,000 ni dhuluma ya hali juu
 
Kumbee lakini naina kama unamfeel kimoyomoyo!
Kuna siku utasema!

I am not a type to pretend. Huwez lazmisha mtu akawa ur fan..sawa anapiga pesa na ana mafanikio ila binafsi bado na sidhani kama itakuja wakat ni appreciate kazi zake. NO !!
 
Back
Top Bottom