Wa2 wamefaudu jana kumbe wauza mpapa nao walikuapo
Nini lengo la hiyo party?why white and not black?
Hivi muafrica anawakilishwa na rangi gani?
Are we slave?
Mmmmmmmmmh....
Its okaybinafsi sim feel hata kidogo, honestly i will never be his fan.
Umeona insta party walivyoiba picha ya show ya camelion wakaijifanya yakwao
Umeona insta party walivyoiba picha ya show ya camelion wakaijifanya yakwao
View attachment 248900
Na uvaaji wa namna hiyo. Hapana aisee. Mi bado hunijaniambia niwe fan wa huyu jamaa. Good for him though. Wishing him success in his future endeavours.
Waliosema dai atazindua tv station yake ni wale wale waliodanganya kwa kutuletea jumba la makumbusho ya kale huko jerusalem na kutuaminisha kwamba ni la ally k na kudanganya kwamba ali amevamiwa usiku ile juzi wakti sio kweli!!
Na ndio.wale wale waliotuambia kwamba diamond amepigwa risasi.
Kiba amevamiwa kweli mama.Vipi hua hutembelei instagram au twitter?
Maana jana ametoa shukrani zake kwa waliompa pole kwa kuvamiwa.
Mind you...hakutangaza kua alivamiwa ila alitoa shukrani za pole alizokua akizipokea.