Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Mbona hata mimi sina tym na hiyo all white party na hunihoji

Acha ushamba na umbea dogo!!
 
"chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema salu t".......wema kawagombanisha ommy na diamond.
 

chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana,chunga sana alishasema salu t.
 
Itakua maana sioni ukaribu wao aisee
 
Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T.
 

Attachments


Yuko A-Town kesho ana Event Pale Club Kubwa East Africa yani Club D, its going to a night to remember epic perforamnce from Ommy Dimpoz plus a live screen of the legendary fight between Manny Pacquiao and Floyd Mayweather.
 
Tupeane update kama mazoea yetu kwenye matukio yanayovuta hisia za watu wengi. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…