Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Kila la heri mondi, watu hawakosagi cha kusema mara "oooh anapenda sifa" kwani kuthubutu kufanya jambo la maendeleo nazo ni sifa za kijinga?

Kama ni kweli go! mondi go! wachawi watakuelewa tu siku moja
 
ile ndege iliishia wapi tena hakununua tena maana 2014 ilipita. au alimaanisha ndege zarii
 
warumi message yako ni mbaya kumbuka yule ni mtu mzima kama babu pia ni raisi wa nchi so mambo ya chooni ni kama unamdhalilisha sio fair

Na sijui ananufaika nini kuandika hivyo, ameshatoa uzi tusome na kuchangia then anakuja kukera na comment iliyokosa busara.....so sad.
 
Ahahah, au kama kweli ni Tv station itakuwa ni ya mtu mwingine anampigia promo, ndomo hana ushuzi huo

Au labda baba riz amfungulie then asimamie kwa niaba ya wasanii wenzie

Nilimsikia akisisitiza kuwa ni tv station yake. Akasema ni vitu ambavyo watu si rahisi kuamini lakini vipo
 
Hiyo Mi TV yao ya online inanboa,yaani full mikwaluzo,mhhh hadi Madam wema anayo,,,,hahahaha
 
Msikiti aliohaidi kujenga kamaliza?.Haka kabwana kasanii kazuri ila kajongo jongo mnooo haka.
 
Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!
Acheni hizo! Au wekeni ushahidi hapa.
duh! huyu jamaa ana fedha jamani! hapo bado kununua private jet kama P Square. Hongera zake kama hajawezeshwa na Raia Namba 1 TZ tu!
 
Leo nimejaribu kusearch kwa bidii kwenye social media karibu zote kuangalia km bwana dimpoz atapost chochote kuhusu white party lakini nimeambulia patupu...����

Ninachojiuliza sasa...hawa jamaa c walikua washkaji wazuri sana,au ndo beef linalosemekana lipo kweli...����
 
Leo nimejaribu kusearch kwa bidii kwenye social media karibu zote kuangalia km bwana dimpoz atapost chochote kuhusu white party lakini nimeambulia patupu...😞😞
Ninachojiuliza sasa...hawa jamaa c walikua washkaji wazuri sana,au ndo beef linalosemekana lipo kweli...😏😏

Hujajua kwann bado af kesho anapart ya sensar white part baba wanjera inafanyika arusha kesho huuhhuu
 
Back
Top Bottom