Ebwana hii ZARI ALLWHITE PARTY umemuacha hoi. Yani Chua alikuwepo, Minja alikuwepo, Matayo alikuwe, Msele alikuwepo, Mrema alikuwepo...na wengine wengi walikuwepo (in chagaz voice).
Bila kumsahau Bob junior ambae amemfurahisha sana Plutnumz na mashabiki zake kwa hilo. Hii ikimaanisha hawana bifu tenaa. Mnyama TID mmemuona mapemaa. Ila mzee wa kufuta vumbi kiti Vp bwana......Mbona sikuoni? Why? Kwanini? Hakika unazidi kujitenga na wasanii wenzako huku Platnumz akiendelea kuwaongeza.
Msalimie na Mr. Wanjera