Zari amkimbiza wema instagram kwa followers

Zari amkimbiza wema instagram kwa followers

Kabla zari hajawa na mondi wema alikuwa na followers wengi mara kumi zaidi ya zari. Baada ya zari kuwa na mondi zari na wema walikuwa na follower wakikaribiana huku wema akiongoza. But now kwa mda mrefu wamekuwa wakiwa na followers sawa ila zari amekuwa akimbwaga wema. Sijui kama wema atakuja kumpiku zari tena
1ab504c46bea43ffe4ced18b3da6b6a2.jpg
a2261875d66af532b633358170342301.jpg
Hata huyu mpenzi wa sasa wa hamonize kabla hajawa na harmonize alikuwa na followers wachache sana hata elfu 3 walikuwa hawafiki ila kwa sasa ana followers 26.1K na baada ya wiki watakuwa washafika 30K
 
Back
Top Bottom