Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hata huyu mpenzi wa sasa wa hamonize kabla hajawa na harmonize alikuwa na followers wachache sana hata elfu 3 walikuwa hawafiki ila kwa sasa ana followers 26.1K na baada ya wiki watakuwa washafika 30KKabla zari hajawa na mondi wema alikuwa na followers wengi mara kumi zaidi ya zari. Baada ya zari kuwa na mondi zari na wema walikuwa na follower wakikaribiana huku wema akiongoza. But now kwa mda mrefu wamekuwa wakiwa na followers sawa ila zari amekuwa akimbwaga wema. Sijui kama wema atakuja kumpiku zari tena![]()
![]()