Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Ushauri wa bure ndugu chawa hebu mara moja moja uwe unakubali kuwa Diamond ana mambo mengi tu ya kujinga na kipuuzi anafanya, yeye kuwa great musicians kwa ukanda huu haimfutii haya makosa.

Nimemaliza.
Diamond tunaweza kumlaumu hasa kwenye mambo yake kula wanawake alafu aowi ila siyo hili la zari wanawake aina ya zari sitokuja kuoa kamwe
 
Laiti ndo ungekuwa mgawa riziki ya waume: ningekoma mimi HS.

Zari na watoto wake watano bado kuna watu wanamtaka kwa hali na mali. Relax brod

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa wanamtaka Ni wengi mbona hadi sasa hana boyfriend?labda apate wakumchezea,angekuwa mke Bora Nini kilichomfanya aachike.Wanaume wengi hatupendi wanawake dizaini ya zari.
 
Jisemee nafsi yako; sio na wanaume wenzio. Upumzike sasa
Me nakuambia ukweli hata Kama unampenda huyo zari ukitaka kuishi vizuri na mwanaume acha kiburi,acha maneno ya shombo, usipende ligi na mwanaume kuwa humble itakusaje tofauti na hapo itakuwa wa kuzalishwa na kuachwa tu.
 
Hilo la kubadilisha uraia na kuwapa wa SA nampa hongera sana
 
Haijalishe damu ni damu tu ..baba paka mbwaa uyoo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto under 18yrs of age anaweza kuwa na uraia pacha na anaweza kusafiria passport ya Tanzania au ya nchi nyingine.

Kama Tiffah ana uraia wa SA hakumfanyi asiwe raia wa TZ na bado anaweza kutumia passport ya TZ.

Watanganyika muwe mnajiongeza kabla ya kudandia mambo. Smdh



Tatizo wivu ,anatamani na yeye angefanya hivyo South Africa ama Uganda ila ndo hivyo uwezo huo hana. Kambadili tifa uraia bila Mondi kujua. Anakatalia watoto wasije kumwona baba yao.
Mondi yeye siyo mjinga kiasi hicho.

 
timu flani hata muda wa kujielimisha hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kuna chawa wa diamond Basi pia Kuna chawa wa zari wanaomtetea huyo mother

Kubalance the equation kila mtu ajishushue atoe ushirikiano kwa mwenzake atimize matakwa ya mwenzake sio unataka wewe utimiziwe tu wakati wewe hutaki kabisa na unajiona una haki kuliko mwenzako

Diamond anataka wanae wamtembele dar ,anataka wanae wafuate dini yake anataka awe na access ya kuwaona wanae every time

He huyo zari anaweza fanya hayo Kama anaweza ni baba gani mwenye roho ngumu atashindwa kuwahudumia wanae

Lakini huyo jeuri haishi kwa jeuri na matusi kwa Tambo kwamba yeye Hana shida za pesa Wala haihitaji child support (aliwahi sema huko nyuma)

Kinachowashanga watu imekuwaje Leo anaona diamond anatoa misaada kwa watu yeye aliekaamta child support kaibuka na malalamiko wewe hujiulizi huyu mtu vipi Tena ?

Anyway tuache kuwa bandwagoners wacha wenyewe wamalizane Mimi na wewe tusijifanye ndio mashabiki kindakindaki coz hawatujui na hawaweki hata ugali mezani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…