Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kubeba mimba yangu,sio kwamba kuna mikataba tumesign ya makubaliano.We mkeo akichoropoa mimba bila maelezo ya kueleweka, utabaki nae?
Usijibu kama upo karantini.
Diamond alikuwa anatuma hela za matumizi sauzi Wala hzitumiwi boss lady anasema anapesa Wala Hana shida na pesa za tandale .Kiba, Davido, wizkid wote wana watoto kwa wamama tofauti tofauti lakini wenzie wamekusanya watoto wao wanawalea Vizuri huoni yeyote akitukanana na baby mama wake hadharani isipokuwa huyu mtandale wetu, ukiyaambia haya machawa ya Diamond utasikia tatizo mwanamke wake kiburi! Akiwa kiburi ndio nini sasa! Si uombe legal support ili upate haki ya kuwalea watoto wako? Mbona hafanyi hivyo? Halafu bado kuna watu wanamtetea na kuwakandamiza hawa wanawake.
Baby mama wa wizkid alileta drama za kumblast Wiz kwenye media guess what... Wiz hakujibu walitafutana pembeni wakayamaliza wanalea mtoto sasa... Kama wanawake wa Diamond wanapemba drama Diamond tunamtoaje katika hili wakati ni mpenda drama maarufu na ni mara nyingi amenukuliwa akiwazungumzia vibaya baby mama wake!?
Kama kiki our very own Diamond ni mwenyekiti wa watafuta kiki wote Africa mashariki na kati, well hiyo sio point.
Hamisa alienda mahakamani ndipo mtoto wake akatambuliwa na kuanza kutunzwa na kama upo fair utakumbuka walitaka kutokumtambua mtoto wa hamisa kwa sababu gani, Diamond na familia yake hawana cha kujustfy juu ya hili. Ni hamisa leo hii mnamtumia kama mfano wakati alistruggle hadi mahakamani juu ya child support! WCB acheni unafiki muambieni Diamond juu ya makosa anayoyafanya ambayo hata baba yake aliyafanya.
Zari hajalilia child support amemshade tu Diamond, am sure angelitaka angeongoza mahakani, Basi tunamchallenge Diamond amshtaki Zari kwa kumnyima access ya watoto wake, Hajali hivyo hawezi fanya hivyo, ndio kwanza anachekelea.
Wewe zari unamtetea bure sisi sio wajinga kutompa sapoti hayo malalamiko yake we siunaona uko social network wataanzania wanavyompa za uso hao kiba, Wizkid wamezaa na watu ambao si maarufu Kuna issue moja ya Alikiba aliyozaa na yule mkenya mpaka akaenda clouds akawa analalamika apewi matumizi ya mtoto na kiba mbona umeiruka.Kinachomkosti zari kuja kulalamika public wakati yeye ndio kizuizi Cha diamond kutoa huduma ndo maana anakula za uso kisawasawa na dawa ya jeuri alitegemea atapata public sympathy mambo yamemgeuka next time ajifunze ujeuri sio mzuri.
Kiba, Davido, wizkid wote wana watoto kwa wamama tofauti tofauti lakini wenzie wamekusanya watoto wao wanawalea Vizuri huoni yeyote akitukanana na baby mama wake hadharani isipokuwa huyu mtandale wetu, ukiyaambia haya machawa ya Diamond utasikia tatizo mwanamke wake kiburi! Akiwa kiburi ndio nini sasa! Si uombe legal support ili upate haki ya kuwalea watoto wako? Mbona hafanyi hivyo? Halafu bado kuna watu wanamtetea na kuwakandamiza hawa wanawake.
Baby mama wa wizkid alileta drama za kumblast Wiz kwenye media guess what... Wiz hakujibu walitafutana pembeni wakayamaliza wanalea mtoto sasa... Kama wanawake wa Diamond wanapemba drama Diamond tunamtoaje katika hili wakati ni mpenda drama maarufu na ni mara nyingi amenukuliwa akiwazungumzia vibaya baby mama wake!?
We unachekesha kweli...Sikuwa na mood ya kuandika ila imenibidi tu. Ujue unasoma some of the comments unatamani na kuangusha kilio cha kinyaki; wanaume wengi wanasikitisha sana.
Zari ana drama zake na mapungufu yake ( and no one is perfect); ila baada ya kusikiliza ile interview yake kwa Millard; nilimuheshimu mnooo. Kati ya Zari na Dai: Dai ndo anajua kujivictimise na akiongea jambo analiongea kwa msisitizo as if ni kweli. Zari amejitahidi sana kutafuta suluhu kwa ajili ya watoto wake; anajua umuhimu wa watoto kulelewa na wazazi wote wawili hata kama wazazi hawaishi pamoja. Sometimes huwa tunavumilia na ku-swallow our pride for the sake of our kids. Daimond si baba wa kulea watoto period. Otherwise tungeuona huo ubaba bora hata kwa mtoto wake mmoja; ila kwa watoto wote ni hekaheka; hadi watu washikane mashati.
Ni aibu eti mtu analalamika; Zari kaniblock insta so nashindwa kuwaona watoto wangu; hivi watoto wanalelewa insta? Lini alienda south akakataliwa kuwaona watoto? Zari explained well kwa nini alimblock, na hata mimi nimgemblock. Yet watoto wake wakubwa walikuwa wanamtafuta Dai aongee na Tee coz alikuwa anasumbua lakini wapi. Do these minions know how it feels mtoto kulia kisa anamtaka mzazi wake mwingine afu mzazi mwenyewe hana habari??? Nilichoka siku ile uncle wao kina Tee alivyomtafuta afu Dai akakimbilia kuscreenshot picha na kupost; the boy cares much about kiki pyeee. Nakusema anatuma dollar 2000 monthly kumbe aliituma hiyo ifanye na mipango ya birthday hehehee
Na mama yake naye ndo walewale; kilichomfanya aache kuwatafuta wajukuu zake ni nini?
Wanaume wajifunze kukubali kuachika once wakiachwa. Ni upuuzi kufikiri unamkomesha mzazi mwenzako ukisusa watoto wako; the kids will grow well even without you; ila fainali uzeeni. Tatizo wanaume wa kibongo anataka akihudumia watoto wake aendelee na kupata na ngono mfyuuu; uimkatalia anajifanya kususa watoto
And Zari was very right kuhama ile nyumba; mtu anaenda kusema kwenye vyombo vya habari eti "ile nyumba nikiamua kuiuza naiuza anytime"; uuze nyumba wanayokaa watoto wako wenyewe si ni utaahira huo. Kwa hili Daimond is very wrong; he needs to man up
Zari anaongea kama mama anayejua umuhimu wa kulea watoto pamoja; ona the way they co-parented with the late Ivan; mbona hakuwahi kulalamika. Wanawake; sasa hivi ukijisikia kuzaa; zaa idadi ya watoto utakaoweza kuwatunza mwenyewe basi. Nisamehe kwa gazeti ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi nakuomba kafuatilie interview aliyoifanya diamond wasafi block 89 au nenda video fupi kapost account ya carrymastory ya Instagram utaona Kati ya zari na diamond Nani Ni mjeuri? Kiufupi ile interview ya diamond ndo alimaliza kila kitu ndomaana huyo zari ukienda social network kakosa sapoti kubwa ya watu tofauti na alivyotegemea sasa hiv anakula za uso tu.Sikuwa na mood ya kuandika ila imenibidi tu. Ujue unasoma some of the comments unatamani na kuangusha kilio cha kinyaki; wanaume wengi wanasikitisha sana.
Zari ana drama zake na mapungufu yake ( and no one is perfect); ila baada ya kusikiliza ile interview yake kwa Millard; nilimuheshimu mnooo. Kati ya Zari na Dai: Dai ndo anajua kujivictimise na akiongea jambo analiongea kwa msisitizo as if ni kweli. Zari amejitahidi sana kutafuta suluhu kwa ajili ya watoto wake; anajua umuhimu wa watoto kulelewa na wazazi wote wawili hata kama wazazi hawaishi pamoja. Sometimes huwa tunavumilia na ku-swallow our pride for the sake of our kids. Daimond si baba wa kulea watoto period. Otherwise tungeuona huo ubaba bora hata kwa mtoto wake mmoja; ila kwa watoto wote ni hekaheka; hadi watu washikane mashati.
Ni aibu eti mtu analalamika; Zari kaniblock insta so nashindwa kuwaona watoto wangu; hivi watoto wanalelewa insta? Lini alienda south akakataliwa kuwaona watoto? Zari explained well kwa nini alimblock, na hata mimi nimgemblock. Yet watoto wake wakubwa walikuwa wanamtafuta Dai aongee na Tee coz alikuwa anasumbua lakini wapi. Do these minions know how it feels mtoto kulia kisa anamtaka mzazi wake mwingine afu mzazi mwenyewe hana habari??? Nilichoka siku ile uncle wao kina Tee alivyomtafuta afu Dai akakimbilia kuscreenshot picha na kupost; the boy cares much about kiki pyeee. Nakusema anatuma dollar 2000 monthly kumbe aliituma hiyo ifanye na mipango ya birthday hehehee
Na mama yake naye ndo walewale; kilichomfanya aache kuwatafuta wajukuu zake ni nini?
Wanaume wajifunze kukubali kuachika once wakiachwa. Ni upuuzi kufikiri unamkomesha mzazi mwenzako ukisusa watoto wako; the kids will grow well even without you; ila fainali uzeeni. Tatizo wanaume wa kibongo anataka akihudumia watoto wake aendelee na kupata na ngono mfyuuu; uimkatalia anajifanya kususa watoto
And Zari was very right kuhama ile nyumba; mtu anaenda kusema kwenye vyombo vya habari eti "ile nyumba nikiamua kuiuza naiuza anytime"; uuze nyumba wanayokaa watoto wako wenyewe si ni utaahira huo. Kwa hili Daimond is very wrong; he needs to man up
Zari anaongea kama mama anayejua umuhimu wa kulea watoto pamoja; ona the way they co-parented with the late Ivan; mbona hakuwahi kulalamika. Wanawake; sasa hivi ukijisikia kuzaa; zaa idadi ya watoto utakaoweza kuwatunza mwenyewe basi. Nisamehe kwa gazeti ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond alikuwa anatuma hela za matumizi sauzi Wala hzitumiwi boss lady anasema anapesa Wala Hana shida na pesa za tandale .
Haya jamaa akaamua kutulia Sasa hii corona omelets changamoto kubwa sana huko sauzi vile vyuo vya IVAN nahisi mapato yameshuka na Hana dili za uhakika muda ndio hapo hofu inakuja anawaza afanyeje ndio Mara diamond anaonekana kwenye social media atatoa michango ya Kodi kwa watu 500 na yeye kapata pankusemea pakuoumulia
Acheni jeuri mtu wa kwanza kujenga mahusiano mazuri ya malezi anapswa kuwa zari sababu alishaharibu huko nyumo kwa kuleta jeuri maji yamemfika shingoni five kids to live the same luxury life lazima atafute pakutokea [emoji3]
Hivi si ana ana Yule boyfriend wake bilionea anamuoneshaga kofia tu Yule sijui naninai bae[emoji1787]
Mbona analia anali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambieni Dai fainali uzeeniWe unachekesha kweli...
Zari anamuita Diamond mbwa kwenye social media ambapo ana millions of followers, halafu unategemea the so called mbwa atume hela za matunzo ya watoto?, we ulishawahi kuona mbwa anatuma hela za matunzo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi nakuomba kafuatilie interview aliyoifanya diamond wasafi block 89 au nenda video fupi kapost account ya carrymastory ya Instagram utaona Kati ya zari na diamond Nani Ni mjeuri? Kiufupi ile interview ya diamond ndo alimaliza kila kitu ndomaana huyo zari ukienda social network kakosa sapoti kubwa ya watu tofauti na alivyotegemea sasa hiv anakula za uso tu.
Mbona uzungumzii Yale matusi aliyokuwa anamtukana diamond alafu diamond akakausha unazani wataanzania walikuwa hawaoniAombe legal support wakati anajuz watoto kawatelekeza mwenyewe? Na after ile interview ya Zari; mbona alinyamaza kimya? Dai umuongelee uongo afu akuache weeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye atafanyiwa hivyo hivyo mbaya zaidi huko uzeeni huna hata mama wa kukutetea. Unaishia kuishi lonely life.imagine mwingine anakausha[emoji23][emoji23][emoji23].
impact ya mzee abdul kumuacha huyu dogo ndio hii,haamini katika baba,haioni hata yeye kama ni muhimu kwa wanaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aombe legal support wakati anajuz watoto kawatelekeza mwenyewe? Na after ile interview ya Zari; mbona alinyamaza kimya? Dai umuongelee uongo afu akuache weeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Zari safari hii kaingia choo Cha kiume solution pekee aliyobakiwa nayo Ni kuongea diamond na kujua namna gani wanasaidiana tofauti na hapo public sympathy haitamsaidia na watanzania watampuuza kama wanavyofanya sasa.Hiyo interview unayo ing'ang'ania mbona zari alisha ijibu. Baada ya kujibiwa mbona hakunyanyua mdomo tena. Vipi mtoto wenu wa kenya matunzo mmeshatuma au vidomo tu
Yan nashangaa ni wapi zari alipolilia matunzo. Watu wanabadilisha hoja wakati picha ipo clear diamond ana jimwambafy kutaka kulipia watu kodi huku hajatuma hata 10 kwa watoto wake.
Ya block 89 niliisikiliza; ila Zari alipokuja kuongea, mtu yeyote mwenye akili timamu atajua nani anasema ukweli. Afu baada ya interview ya Zari mbona Dai hakujitokeza kupinga? I won't trust a man who denied his own blood publicly. Kwa uongo tu yupo vizuri Father Abraham.Na Mimi nakuomba kafuatilie interview aliyoifanya diamond wasafi block 89 au nenda video fupi kapost account ya carrymastory ya Instagram utaona Kati ya zari na diamond Nani Ni mjeuri? Kiufupi ile interview ya diamond ndo alimaliza kila kitu ndomaana huyo zari ukienda social network kakosa sapoti kubwa ya watu tofauti na alivyotegemea sasa hiv anakula za uso tu.
We unachekesha kweli...