ndio maana nikasema binaadamu sio nyau.
ni rahisi wewe kuja kujitete kwa kumuangushia jumba mama yao,kuliko wakuulize kwanini uliamua kuacha kutuma mahitaji.mondi asipokuwa makini anapoteza access ya muelekeo wa watoto wake,wameanza mpaka kwenda kanisani,matumizi hutoi,kuwaona huwaoni,halafu wakiishapata akili uwaambia....watotot wangu nyie..mimi baba yenu....ninaitwa simba....nanyinyi kuanzia leo ni cubs.
hutaeleweka.nina imani anajua nini cha kufanya msaada ufikie wanawe,ila sababu hata yeye pesa ana kazi nazo anakausha.
Sent using
Jamii Forums mobile app