mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kukataa mtoto sio mpaka useme sio wangu huyu.Hiyo ni tofauti mzee Abdul alimkataa diamond kwani diamond kawakataa tiffa na nillan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukataa mtoto sio mpaka useme sio wangu huyu.Hiyo ni tofauti mzee Abdul alimkataa diamond kwani diamond kawakataa tiffa na nillan?
Kwa wema aliona hakuna chata anaweza achakiburi chake ndio kimekimbiza diamond[emoji874]
wema,peni,hamisa,tanasha nini kilimkimbiza mond!!!
huyu jamaa anaishi kisanii,tatizo wanazi wake hamuelewi kama mwenzenu anaishi kisanii.
Sent using Jamii Forums mobile app
usafini wakae kimya[emoji1][emoji1][emoji1].je unajuaje kam Diamond hatumi pesa but labda je zinakataliwa na huyo mama ili kumkomoa but anajiliza mitandoni ili kumfanya domo aonekane mbaya?
kama unaona kila mtu ana tatizo,nawewe ni sehemu ya tatizo.Kwa wema aliona hakuna chata anaweza acha
Kwa pen alichomoka baada ya kuichoropoa
Kwa hamisa aliteleza kama binadamu
Kwa tanasha alikosea njia kama wakoseavyo wanaume wengine
umesikia kuna mtoto wa kiba analalamikia matunzo mzee.
so far kiba ana ndoa rasmi now,an uwezo wa kuishi na watoto wake wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasheria wa Zari na Zari walimdanganya Babu Tale , kutokana na shule zero Babu tale akampelekea makaratasi Diamond ayasaini ambapo kumbe yalikuwa yanamfanya Diamond akubali kupoteza haki za malezi kwa Tifah na mdogo wake.Tatizo wivu ,anatamani na yeye angefanya hivyo South Africa ama Uganda ila ndo hivyo uwezo huo hana. Kambadili tifa uraia bila Mondi kujua. Anakatalia watoto wasije kumwona baba yao.
Mondi yeye siyo mjinga kiasi hicho.
Imagine diamond alimuomba ampe basi hata number ya beki tatu ili atumie kuongea na watoto zari kamnyima alafu leo analalamika public huyu mama ni mpuuzi Sana.Kuishi na mwanamke jeuri ni sawa na mtu mzee kutembea katika mchanga wa jangwani. Ni kazi sana. Wanawake wajeuri wanamajaribu sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwani mm mama yakeTiffah alizaliwa wapi?
Yeah kila nyuma ya boss lady Kuna sponsor hii slogan inaeleweka zaidi[emoji1787][emoji1787]Issue ya Zari inanikera ndo maana wanawake wenzake wengi wanamchukia kutokana kujiona boss lady ajifunze kwa madam Rita kinachomtokea baada ya kufa mengi sasa tunakuja na kauli kila #Nyuma ya boss lady Kuna sponsor.Mwambie aache ujeuri ashirikine na mwenza wake watengeneneze familia vizuri kuliko kutafuta kiki + public sympathy haitamsaidia.
Sawa raia wa Sudan.Sijui kwani mm mama yake
We mkeo akichoropoa mimba bila maelezo ya kueleweka, utabaki nae?kama unaona kila mtu ana tatizo,nawewe ni sehemu ya tatizo.
hata wengine tumeoa si sababu wake zenu wana utimilifu kuliko wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe zari unamtetea bure sisi sio wajinga kutompa sapoti hayo malalamiko yake we siunaona uko social network wataanzania wanavyompa za uso hao kiba, Wizkid wamezaa na watu ambao si maarufu Kuna issue moja ya Alikiba aliyozaa na yule mkenya mpaka akaenda clouds akawa analalamika apewi matumizi ya mtoto na kiba mbona umeiruka.Kinachomkosti zari kuja kulalamika public wakati yeye ndio kizuizi Cha diamond kutoa huduma ndo maana anakula za uso kisawasawa na dawa ya jeuri alitegemea atapata public sympathy mambo yamemgeuka next time ajifunze ujeuri sio mzuri.Kiba, Davido, wizkid wote wana watoto kwa wamama tofauti tofauti lakini wenzie wamekusanya watoto wao wanawalea Vizuri huoni yeyote akitukanana na baby mama wake hadharani isipokuwa huyu mtandale wetu, ukiyaambia haya machawa ya Diamond utasikia tatizo mwanamke wake kiburi! Akiwa kiburi ndio nini sasa! Si uombe legal support ili upate haki ya kuwalea watoto wako? Mbona hafanyi hivyo? Halafu bado kuna watu wanamtetea na kuwakandamiza hawa wanawake.
Baby mama wa wizkid alileta drama za kumblast Wiz kwenye media guess what... Wiz hakujibu walitafutana pembeni wakayamaliza wanalea mtoto sasa... Kama wanawake wa Diamond wanapemba drama Diamond tunamtoaje katika hili wakati ni mpenda drama maarufu na ni mara nyingi amenukuliwa akiwazungumzia vibaya baby mama wake!?
Hahahahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah Yule demu nae aliingia Cha kiume izo Yule wa hela ya kula ugali ikawaje akazaa nae
Halafu deep inside bado anampenda mondi. Ndo maana anaumia.Mwanasheria wa Zari na Zari walimdanganya Babu Tale , kutokana na shule zero Babu tale akampelekea makaratasi Diamond ayasaini ambapo kumbe yalikuwa yanamfanya Diamond akubali kupoteza haki za malezi kwa Tifah na mdogo wake.
Sasa mwanamke huyohuyo anayefanya umafia , ana guts za kulalamika eti hauhudumii watoto , ukirudi interview yake exclusive na Millard ayo utaona namna anavyoongelea kuhusu kuwajibika na matunzo peke yake, tunamshangaa anavyolalamika sahizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwa na mood ya kuandika ila imenibidi tu. Ujue unasoma some of the comments unatamani na kuangusha kilio cha kinyaki; wanaume wengi wanasikitisha sana.Kama kiki our very own Diamond ni mwenyekiti wa watafuta kiki wote Africa mashariki na kati, well hiyo sio point.
Hamisa alienda mahakamani ndipo mtoto wake akatambuliwa na kuanza kutunzwa na kama upo fair utakumbuka walitaka kutokumtambua mtoto wa hamisa kwa sababu gani, Diamond na familia yake hawana cha kujustfy juu ya hili. Ni hamisa leo hii mnamtumia kama mfano wakati alistruggle hadi mahakamani juu ya child support! WCB acheni unafiki muambieni Diamond juu ya makosa anayoyafanya ambayo hata baba yake aliyafanya.
Zari hajalilia child support amemshade tu Diamond, am sure angelitaka angeongoza mahakani, Basi tunamchallenge Diamond amshtaki Zari kwa kumnyima access ya watoto wake, Hajali hivyo hawezi fanya hivyo, ndio kwanza anachekelea.