Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

kiburi chake ndio kimekimbiza diamond[emoji874]

wema,peni,hamisa,tanasha nini kilimkimbiza mond!!!

huyu jamaa anaishi kisanii,tatizo wanazi wake hamuelewi kama mwenzenu anaishi kisanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wema aliona hakuna chata anaweza acha
Kwa pen alichomoka baada ya kuichoropoa
Kwa hamisa aliteleza kama binadamu
Kwa tanasha alikosea njia kama wakoseavyo wanaume wengine
 
je unajuaje kam Diamond hatumi pesa but labda je zinakataliwa na huyo mama ili kumkomoa but anajiliza mitandoni ili kumfanya domo aonekane mbaya?
usafini wakae kimya[emoji1][emoji1][emoji1].

tunawajua mama mpaka mjukuu,pamoja na wapambe hawapendi kuacha jambo lipite,never ever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wema aliona hakuna chata anaweza acha
Kwa pen alichomoka baada ya kuichoropoa
Kwa hamisa aliteleza kama binadamu
Kwa tanasha alikosea njia kama wakoseavyo wanaume wengine
kama unaona kila mtu ana tatizo,nawewe ni sehemu ya tatizo.

hata wengine tumeoa si sababu wake zenu wana utimilifu kuliko wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesikia kuna mtoto wa kiba analalamikia matunzo mzee.

so far kiba ana ndoa rasmi now,an uwezo wa kuishi na watoto wake wote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiba, Davido, wizkid wote wana watoto kwa wamama tofauti tofauti lakini wenzie wamekusanya watoto wao wanawalea Vizuri huoni yeyote akitukanana na baby mama wake hadharani isipokuwa huyu mtandale wetu, ukiyaambia haya machawa ya Diamond utasikia tatizo mwanamke wake kiburi! Akiwa kiburi ndio nini sasa! Si uombe legal support ili upate haki ya kuwalea watoto wako? Mbona hafanyi hivyo? Halafu bado kuna watu wanamtetea na kuwakandamiza hawa wanawake.

Baby mama wa wizkid alileta drama za kumblast Wiz kwenye media guess what... Wiz hakujibu walitafutana pembeni wakayamaliza wanalea mtoto sasa... Kama wanawake wa Diamond wanapemba drama Diamond tunamtoaje katika hili wakati ni mpenda drama maarufu na ni mara nyingi amenukuliwa akiwazungumzia vibaya baby mama wake!?
 
Tatizo wivu ,anatamani na yeye angefanya hivyo South Africa ama Uganda ila ndo hivyo uwezo huo hana. Kambadili tifa uraia bila Mondi kujua. Anakatalia watoto wasije kumwona baba yao.
Mondi yeye siyo mjinga kiasi hicho.
Mwanasheria wa Zari na Zari walimdanganya Babu Tale , kutokana na shule zero Babu tale akampelekea makaratasi Diamond ayasaini ambapo kumbe yalikuwa yanamfanya Diamond akubali kupoteza haki za malezi kwa Tifah na mdogo wake.

Sasa mwanamke huyohuyo anayefanya umafia , ana guts za kulalamika eti hauhudumii watoto , ukirudi interview yake exclusive na Millard ayo utaona namna anavyoongelea kuhusu kuwajibika na matunzo peke yake, tunamshangaa anavyolalamika sahizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuishi na mwanamke jeuri ni sawa na mtu mzee kutembea katika mchanga wa jangwani. Ni kazi sana. Wanawake wajeuri wanamajaribu sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine diamond alimuomba ampe basi hata number ya beki tatu ili atumie kuongea na watoto zari kamnyima alafu leo analalamika public huyu mama ni mpuuzi Sana.
 
Issue ya Zari inanikera ndo maana wanawake wenzake wengi wanamchukia kutokana kujiona boss lady ajifunze kwa madam Rita kinachomtokea baada ya kufa mengi sasa tunakuja na kauli kila #Nyuma ya boss lady Kuna sponsor.Mwambie aache ujeuri ashirikine na mwenza wake watengeneneze familia vizuri kuliko kutafuta kiki + public sympathy haitamsaidia.
Yeah kila nyuma ya boss lady Kuna sponsor hii slogan inaeleweka zaidi[emoji1787][emoji1787]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba, Davido, wizkid wote wana watoto kwa wamama tofauti tofauti lakini wenzie wamekusanya watoto wao wanawalea Vizuri huoni yeyote akitukanana na baby mama wake hadharani isipokuwa huyu mtandale wetu, ukiyaambia haya machawa ya Diamond utasikia tatizo mwanamke wake kiburi! Akiwa kiburi ndio nini sasa! Si uombe legal support ili upate haki ya kuwalea watoto wako? Mbona hafanyi hivyo? Halafu bado kuna watu wanamtetea na kuwakandamiza hawa wanawake.

Baby mama wa wizkid alileta drama za kumblast Wiz kwenye media guess what... Wiz hakujibu walitafutana pembeni wakayamaliza wanalea mtoto sasa... Kama wanawake wa Diamond wanapemba drama Diamond tunamtoaje katika hili wakati ni mpenda drama maarufu na ni mara nyingi amenukuliwa akiwazungumzia vibaya baby mama wake!?
Wewe zari unamtetea bure sisi sio wajinga kutompa sapoti hayo malalamiko yake we siunaona uko social network wataanzania wanavyompa za uso hao kiba, Wizkid wamezaa na watu ambao si maarufu Kuna issue moja ya Alikiba aliyozaa na yule mkenya mpaka akaenda clouds akawa analalamika apewi matumizi ya mtoto na kiba mbona umeiruka.Kinachomkosti zari kuja kulalamika public wakati yeye ndio kizuizi Cha diamond kutoa huduma ndo maana anakula za uso kisawasawa na dawa ya jeuri alitegemea atapata public sympathy mambo yamemgeuka next time ajifunze ujeuri sio mzuri.
 
Jomba izzo mfukoni hana kitu ataendaje usa,labda tumchangie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah Yule demu nae aliingia Cha kiume izo Yule wa hela ya kula ugali ikawaje akazaa nae

Ila izo kauchuna kimya Kama sio yeye wale watoto wanafanana pyua kabisa na yeye yaani fotokopi zile pua za ki-simwinga simwinga [emoji3]

Jamaa Hana habari kabisa hata ku admit kuwa wale wanae hatki Hadi kawatungia watu wimbo eti hataki shobo shenzi sana

Halafu Yule abela aisee ni msupu toto tamu lile huyu izo sijui karogwa na Nini yaani ana macho lakini haoni

Awakubali watoto wake iwe changamoto ya yeye kutafuta hela kwa bidii

Sio kutafuta hela za kuvaa pamba Kali kutlingishia social media

Jamaa amefeli sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasheria wa Zari na Zari walimdanganya Babu Tale , kutokana na shule zero Babu tale akampelekea makaratasi Diamond ayasaini ambapo kumbe yalikuwa yanamfanya Diamond akubali kupoteza haki za malezi kwa Tifah na mdogo wake.

Sasa mwanamke huyohuyo anayefanya umafia , ana guts za kulalamika eti hauhudumii watoto , ukirudi interview yake exclusive na Millard ayo utaona namna anavyoongelea kuhusu kuwajibika na matunzo peke yake, tunamshangaa anavyolalamika sahizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu deep inside bado anampenda mondi. Ndo maana anaumia.
 
Zari huwa anathubutu kumtukana Nasibu kwa kumuita Mmbwa [emoji240][emoji240]

Imagine?!

Siku moja nika comment nikamjibu;

Nikamwambia kama umefika hapo basi ujue kuwa shida itakuwa ni wewe binadamu uliyekubali kuzaa na mmbwa huku ukijua kabisa kuwa ni mmbwa siyo mtu [emoji108][emoji108]

Mungu amsaidie Nasibu siku zote!

Yani Mwanaume ukishaanza kuwa na hela mkimbilie Mungu uishi kwa kumtegemea yeye vinginevyo utapata mitihani ikiwemo ya wanawake wengi kukutega ili wakunase na namna mbalimbali!

Wanawake wengi wanatumia kutegesha mimba ili wawatumie watoto kama vitega uchumi!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kiki our very own Diamond ni mwenyekiti wa watafuta kiki wote Africa mashariki na kati, well hiyo sio point.

Hamisa alienda mahakamani ndipo mtoto wake akatambuliwa na kuanza kutunzwa na kama upo fair utakumbuka walitaka kutokumtambua mtoto wa hamisa kwa sababu gani, Diamond na familia yake hawana cha kujustfy juu ya hili. Ni hamisa leo hii mnamtumia kama mfano wakati alistruggle hadi mahakamani juu ya child support! WCB acheni unafiki muambieni Diamond juu ya makosa anayoyafanya ambayo hata baba yake aliyafanya.

Zari hajalilia child support amemshade tu Diamond, am sure angelitaka angeongoza mahakani, Basi tunamchallenge Diamond amshtaki Zari kwa kumnyima access ya watoto wake, Hajali hivyo hawezi fanya hivyo, ndio kwanza anachekelea.
Sikuwa na mood ya kuandika ila imenibidi tu. Ujue unasoma some of the comments unatamani na kuangusha kilio cha kinyaki; wanaume wengi wanasikitisha sana.

Zari ana drama zake na mapungufu yake ( and no one is perfect); ila baada ya kusikiliza ile interview yake kwa Millard; nilimuheshimu mnooo. Kati ya Zari na Dai: Dai ndo anajua kujivictimise na akiongea jambo analiongea kwa msisitizo as if ni kweli. Zari amejitahidi sana kutafuta suluhu kwa ajili ya watoto wake; anajua umuhimu wa watoto kulelewa na wazazi wote wawili hata kama wazazi hawaishi pamoja. Sometimes huwa tunavumilia na ku-swallow our pride for the sake of our kids. Daimond si baba wa kulea watoto period. Otherwise tungeuona huo ubaba bora hata kwa mtoto wake mmoja; ila kwa watoto wote ni hekaheka; hadi watu washikane mashati.

Ni aibu eti mtu analalamika; Zari kaniblock insta so nashindwa kuwaona watoto wangu; hivi watoto wanalelewa insta? Lini alienda south akakataliwa kuwaona watoto? Zari explained well kwa nini alimblock, na hata mimi nimgemblock. Yet watoto wake wakubwa walikuwa wanamtafuta Dai aongee na Tee coz alikuwa anasumbua lakini wapi. Do these minions know how it feels mtoto kulia kisa anamtaka mzazi wake mwingine afu mzazi mwenyewe hana habari??? Nilichoka siku ile uncle wao kina Tee alivyomtafuta afu Dai akakimbilia kuscreenshot picha na kupost; the boy cares much about kiki pyeee. Nakusema anatuma dollar 2000 monthly kumbe aliituma hiyo ifanye na mipango ya birthday hehehee

Na mama yake naye ndo walewale; kilichomfanya aache kuwatafuta wajukuu zake ni nini?
Wanaume wajifunze kukubali kuachika once wakiachwa. Ni upuuzi kufikiri unamkomesha mzazi mwenzako ukisusa watoto wako; the kids will grow well even without you; ila fainali uzeeni. Tatizo wanaume wa kibongo anataka akihudumia watoto wake aendelee na kupata na ngono mfyuuu; uimkatalia anajifanya kususa watoto

And Zari was very right kuhama ile nyumba; mtu anaenda kusema kwenye vyombo vya habari eti "ile nyumba nikiamua kuiuza naiuza anytime"; uuze nyumba wanayokaa watoto wako wenyewe si ni utaahira huo. Kwa hili Daimond is very wrong; he needs to man up
Zari anaongea kama mama anayejua umuhimu wa kulea watoto pamoja; ona the way they co-parented with the late Ivan; mbona hakuwahi kulalamika. Wanawake; sasa hivi ukijisikia kuzaa; zaa idadi ya watoto utakaoweza kuwatunza mwenyewe basi. Nisamehe kwa gazeti ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom