Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Kwani Zari mkristo mkuu?
 
Comments za wanaume zinaonesha wanawake wa kitanzania wanafujwa sana kihisia, na comments za wanawake zinaonesha wanawake wa kitanzania wamezoea kufujwa na ni furaha kuona kuna mwenzao anafujwa. Inaonekana ili watoto wako watunzwe ni mpaka umlambe mtu miguu sijui umbembeleze ndio atunze watoto wake. Kazi ipo kweli kweli.
 

Mapenzi yako kwa Diamond yasikufanye ukawa blind,hoja zenu za kitoto ooh Zari kabadilisha uraia..sijui kanisani...eti sasa hivi mnadai Zari kashindwa kutengeneza mahusiano mazuri..mahusiano ni ya wawili..both are responsible..yeye Dai..ametoa hela ya matumizi..au hata kwenda kuwaona wanae South Africa akakataliwa?...
 
Binafsi Nimpongeze Zari Kwa Kuweka Kumbukumbu.

The Internet NEVER Forgets.

Leo Kuna Mgogoro Kati Ya Zari na Diamond.

Kesho Ukianza Mgogoro Kati Ya Diamond na Watoto HATUTAKI kuja kujisikia VISWAHILI MIDOMO JUU JUU na VIJIKAULI VYAO vya BABA NI BABA au MZAZI NI MZAZI.


Kama Asivyojali Sasa Na ASIJALI VIVYO VIVYO mpaka anaingia KABURINI.

Huyo Domo naye eti alikuwa anamchukia baba yake wakati yeye mwenyewe TABIA ILE ILE.
 

Nimesoma umeandika msaada au? Mshaurini Diamond afuate sheria kutunza watoto wake kama anaona mzazi mwenzie hampi ushirikiano aende mahakamani ili tumuone yeye ni baba bora, mnamtetea Diamond historia ina mhukumu alishawahi kupelekwa mahakamani kutunza mtotowe kwa hamisa, sasa ni wakati wake wa kumsue Zari sababu Zari si mama mzuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kinachomuuma Mond ni Kutemwa na Kunyimwa Bumunda la mrembo Zari amezoea kwa Ma X Wake wa kibongo anapashapasha viporo kwa zari Kanyimwa jamaa kasusa hadi watoto
 
Atawaonaje hao watoto bila ruhusa ya mzazi mwenza hapa ndio tatizo linapoanzia kafuta kabisa mawasiliano na mzazi mwenza kablock diamond Hadi kwenye account ya watoto wake.Kama kweli zari ana Nia ya dhati ya kusaidiana na mwenza na wewe ndio unatakiwa kumshauri kwanza kabisa awe na mawasiliano nae ya simu, Cha pili awe anatoa taarifa za watoto,aache kumtukana diamond kwenye Instagram yake,Cha nne awaruhusu watoto wamuone baba yao Tanzania angalau wanapopata likizo baada ya hapo wakubaliane kisheria au kidomo namna wanaweza kusaidia watoto wao na haya hayawezi kufanyika bila ya yeye kuwa na mahusiano mazuri na mzazi mwenzake.
 
Kama zari anauchungu Sana awapeleke watoto madale wamuone baba yao alafu aone Kama diamond hatatoa huduma.
 

Dunia hadaaa, Binadamu shujaa......Zari anajiweza kiuchumi bana.
 

Acha kuzunguka mbuyu....SPECIFIC NAKUULIZA KWA NINI MONDI HATOI HELA YA MATUMIZI kwa watoto wake???...jiulize majibu yake mara mbili kama unaweza...halafu ndio ujibu...


 
Acha kuzunguka mbuyu....SPECIFIC NAKUULIZA KWA NINI MONDI HATOI HELA YA MATUMIZI kwa watoto wake???...jiulize majibu yake mara mbili kama unaweza...halafu ndio ujibu...


Uweke na video ya mondi pia alipofanya interview na wasafi kipindi block 89 alieleza fika kwa nini amesitisha huduma kwa watoto wake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond ajifunze, sio kumnunia baba yake

Pengine hata mama yake alikuwa kichomi kwa baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zari ni kiburi ali mblock diamond kila mahali,alimnyima hata number ya yaya. Anaye watunza pia hata namba ya mtoto wake mkubwa alimwambia asipoke simu ya diamond, wanawake wengi wanatumia watoto kama fimbo ya kuchapia wanaume hilo hata kwenye maisha yangu niliona mama alikuw ananitumia sana tu ili baba aumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia jina la Diamond kwenye issue nzuri mavi yana gonga chupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…