This is sad,
Timu Mondi mmejaaa mapumba aisee...swala la kubadilisha uraia kwenda south africa..Zari ni mama anayejali future ya wanae..kumbukeni South Africa ni moja ya nchi tajiri Africa,mama gani asingechukua hio opportunity??? BIG UP ZARI....
Eti anampeleka watoto kanisani,ndio ususe kulea wanao??,hao watoto ni wadogo...wakifika 18 ndio wanaweza kufanya maamuzi wachukue dini gani..Mondi anaweza kuwapeleka kila siku Madrasa na kuswali msikitini,ila ikifika umri wa kuchagua wanaweza kuchukua ukristu mpooo???
Kuwaona watoto mnasema Zari hawaleti wanae kumuona baba yao,huyo Mondi kapanda ndege kwenda kuwaona wanae akakataliwa kuwaona????..kwanza ingekua ni mimi hata ukipanda ndege huwaoni ng'o..hela ya matumizi hutoi bado unataka kuwaona watoto.. kwani wamekua wana sesere au midoli hao?