Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Hata huyu ndugu yetu ana matatizo, kipindi kile anamkana hamisa na mwanaye mpaka hamisa alipotoa ushaidi ndo Jamaa akakubali,. Huo ni uthibitisho tosha kujua kua huyu jamaa ana matatizo,na kwa naoa anavyowaacha anawaacha kwa kuwaumiza lazima wawe na vinyongoKuna mama jeuri sana, mtoto unampenda lakini hata kuonana naye anakuwekea masharti makali, ukimtumia hela anaidharau anaona ndogo kwavile anajiona tajiri, dawa ya mama wa namna hiyo ni kuwakaushia tu. Na huyu Bosslady namuona ana swaga hizo
Sent using Jamii Forums mobile app