Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mama jeuri sana, mtoto unampenda lakini hata kuonana naye anakuwekea masharti makali, ukimtumia hela anaidharau anaona ndogo kwavile anajiona tajiri, dawa ya mama wa namna hiyo ni kuwakaushia tu. Na huyu Bosslady namuona ana swaga hizoIla kwanini mtu unakubali ugomvi wa baba na mama uharibu uhusiano wako na watoto??
mbona huwa anasema hivyo mara kibaoAmetaka tu mjue kuwa mnalipiwa kodi na mtu ambaye hawajibiki kwenye malezi ya watoto wake.
Mnafikiri ni yeye basi anayetoa msaada, kwa pesa gani? Ni makampuni tu yako nyuma yake kumsuport na sidhan kama wataweza kulipia watu 500 kweli labda 50 hyo sifur nyingine kajiongezea, c unamjua domo kwa kupenda sifa.
Yeye mwenyewe kapanga na analipiwa kodi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uzuri Wa mitandao unatuza hizi habari Watoto wakikua watakuja jionea Na watachagua upande kama alivyochagua yeye kua na mamake na kumtelekeza BabaMimi hapa nimejifunza kitu kiimani,
Laana ipo, ukimkataa Baba kwasasababu ya malezi na ugomvi wa baba na mama na wewe kuna uwezekano watoto wako wakakukataa kwasabababu zile-zile.
Hapo amefura kama kifutu kwanini Zari anamsema Chibu Akeinnocent dependent ataenda kumtukana Zari kila aina ya tusi
Kwani hata kama kuna makampuni yanayompa back up wewe inakuuma nini.?