hawa waganda naona wanataka kututawala akili zetu sasa...
huyu zari apewe uhamisho Arudi kwao tumemchoka
tumeshampa umaarufu inatosha
haaà binamu unahama Dar unaenda wapi kwamfano.... wacha tubanane hapa hapaIla zari kaenda mbali,uwiii angejua domo na mama yake walipotoka leo anamkashfu uwiii dar sihami jaman[emoji3][emoji3][emoji3]
mwanamke mwema ni yule anayeweka maji mdomoni pindi wanapomsemaBora awakomeshe, watamzoea vibaya sio kwa vichambo vya akina esma
Binamu kuna nn? Nimechanganyikiwa ujue hapa mpaka nimepitiliza kituo,uwiiii umbea utaniua mwaka hui,eeh kulikoni jaman ?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha warumi we ni chizi nmecheka lolUwiii binamu mwenzio nimepitiliza kituo hapa sijui wanaenda kunishushia wapi jamani,umbea huu na huyu dere anavyojifanya anajua kuendesha gar hatak kusimama mfyuuu
Mbona wababa hufurahia Binti zao kuwaleta kina machache wenye wake zao Na watoto? Umri ni namba tu kwenye mapenzi. Mama D tuko single akiamua si anaweza kupata mzee mwenzie au Serengeti boy.Kwanini akumkataa alivyoletwa kwake mara ya kwanza? kwanini alifurahi alivyomletea mjukuu? Vtu vingne shirikisha akili yako.
Word!!!!Exactly, hilo ni dongo limetupwa gizani upande wa pili. Hii movie mwisho wake mtamu. Yote kwa yote hakuna mama yeyote duniani anaefurahia mtoto wake wa kiume mdogo akaenda kuoa jimama lenye watoto watatu, na kumfurahia ni mkwe.Wa mama wengi hufurahia kijana wake akifungua chungu kikiwa kipya yeye akiwa ndo alifu atii.Napita tu.
HeheeeeeeeeAahah huu umbea mtamu balaa,hili dongo limeshafika madale,ebu tusubir akina esma watakuja na lipi khaa, zari karusha dongo zito sana kwa mkwewe looh baba ubaya sijui atajisikiaje
Hahahh nami nahamia Dar muda si mrefu mpaka makonda atatufukuzaZari mwenyewe katoroka Uganda kaja dar, Mimi naenda wapi sasa ahhah, tutabanana kwa jiji la makonda
Akiachana na Diamond ataenda kwa baraka da princeZari kaacha mume tajir mwenye pesa na kila kitu kaenda kwa diamond, diamond akimuacha zari ndo basi tena
Ahhaahahhaha mna manenooAkiachana na Diamond ataenda kwa baraka da prince