Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

hawa waganda naona wanataka kututawala akili zetu sasa...
huyu zari apewe uhamisho Arudi kwao tumemchoka
tumeshampa umaarufu inatosha

Eti hawa waganda waache maili millioni mia nane

Umesoma uzi unamuhusu ila ukapenda kujua habari zake...karibu tena
 
Km n kweli kamaansha ivo amekosea sana, akumbuke yule n km mama yake pia. Na bila yy hata hyo diamond asingemjua. Ni vema wangaliza tofaut zao kuliko kujidharrsha mitandaoni
 
Bora awakomeshe, watamzoea vibaya sio kwa vichambo vya akina esma
mwanamke mwema ni yule anayeweka maji mdomoni pindi wanapomsema
by the way kwani akikaa kimya anapungukiwa nn?!anakatika wapi akikaa kimya,anatakiwa ajipambanue kwa kuachana nao!MTU anayegombana na mama mkwe wake ni chizi maana in sawa na kugombana na mama ako mzazi!!
Zary watu wengi tulikua tunamkubali kwa uzungu wake sa hv namuona nyauuu tuu!!bora hata wema,Peny na jokate ambao hawakuwahi kugombana na ndugu za Mme wao!
yule mtoto mmoja
anaona ngao ngoja Siku moja tu diamond amchenjia!!
 
Binamu kuna nn? Nimechanganyikiwa ujue hapa mpaka nimepitiliza kituo,uwiiii umbea utaniua mwaka hui,eeh kulikoni jaman ?
Uwiii binamu mwenzio nimepitiliza kituo hapa sijui wanaenda kunishushia wapi jamani,umbea huu na huyu dere anavyojifanya anajua kuendesha gar hatak kusimama mfyuuu
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha warumi we ni chizi nmecheka lol
 
Kwanini akumkataa alivyoletwa kwake mara ya kwanza? kwanini alifurahi alivyomletea mjukuu? Vtu vingne shirikisha akili yako.
Mbona wababa hufurahia Binti zao kuwaleta kina machache wenye wake zao Na watoto? Umri ni namba tu kwenye mapenzi. Mama D tuko single akiamua si anaweza kupata mzee mwenzie au Serengeti boy.
 
Exactly, hilo ni dongo limetupwa gizani upande wa pili. Hii movie mwisho wake mtamu. Yote kwa yote hakuna mama yeyote duniani anaefurahia mtoto wake wa kiume mdogo akaenda kuoa jimama lenye watoto watatu, na kumfurahia ni mkwe.Wa mama wengi hufurahia kijana wake akifungua chungu kikiwa kipya yeye akiwa ndo alifu atii.Napita tu.
Word!!!!
 
Aahah huu umbea mtamu balaa,hili dongo limeshafika madale,ebu tusubir akina esma watakuja na lipi khaa, zari karusha dongo zito sana kwa mkwewe looh baba ubaya sijui atajisikiaje
Heheeeeeeee
 
Back
Top Bottom