Atalikiwe ivan alimuoa lini???? Ni baby mama wa ivan tu.... (na domo)uliza uambiwe kama zari kaachwa na talaka
Hehehe ila Baraka anaonekana atakuwa wa moto sana si kwa weusi huo,
Ilioneshwq picha ya tifah akiwa hajaeditiwa si mweupe vile
Huyu Zari mbona yeye hayuko kama mama yake? Kwa lugha nyingine alishindikana kimalezi na ndiyo sababu yuko vile. Na akiendelea kuvaa hayo madudu muda si mrefu atakuondoka kwenye kiwango cha uswahili alichonacho sasa. Sijui atakuwa kitu gani!.
Mapenzi ya wawili mama mond amuache mwanae ajismamie.
Mambo yakumkuwadia mwanae na kumwambia anataka watoto zaidi ajue anamfundisha mwanae kut*ana bira kinga.anamtafutia ukimwi wa bure bure.
Eeeh unahamu ashuke, Zari ana miaka mingi kwenye udaku wa media. Hajaanza leo, ya hapa nchini kwetu ni madogo kwake na ndio maana anajiamini...na mimi nazidi kupenda hivyo anavyofanya.
Mwanamke wa kiganda, uhindi n.k. yupo juu
Walikuwa wapi mpaka akawazalia kama walijua bi mzee?? Alafu mama dai kutwa kumpost mtoto wa esma na kumtenga wa zari, hapa analenga kumuumiza nani?zari au dai , bureeee kabisaExactly, hilo ni dongo limetupwa gizani upande wa pili. Hii movie mwisho wake mtamu. Yote kwa yote hakuna mama yeyote duniani anaefurahia mtoto wake wa kiume mdogo akaenda kuoa jimama lenye watoto watatu, na kumfurahia ni mkwe.Wa mama wengi hufurahia kijana wake akifungua chungu kikiwa kipya yeye akiwa ndo alifu atii.Napita tu.
Matumizi ya media siyo kwa sababu ya uswahili wa kipumbavu!. She could use media more productively zaidi ya malumbano na upumbavu wa kijinga kukaa anatukanana na watu, ni upumbavu. Mtu yeyote mwenye vision hawezi kupamba maisha yake kwa kutukanana na watu, kuchimbana kishenzi na kukalia maisha binafsi ya watu kama haya. Ni upumbavu hata kumsifia.
Kama ni celebrity mwenye vision, hasikuwa na muda wa kulumbana upumbavu kila kukicha.
Mkodisheni Dajane atamaliza shughuli yooote!Huyo zari angetukodisha tuwaonyeshe hao midomo juu akina esma, mfyuuu wanamuonea tu mama wa watu, atakufa kwa pressure bure
Tandale kwa mtogole baby[emoji12] [emoji626] [emoji626]
hhhhhaaaaaahhhhhhaaaaa!!Akiachana na Diamond ataenda kwa baraka da prince
Hahahaaaa.. Aisee hii vita lemutuz aachane nayo...hii ligi haiwezi...Warumi habar ya mjini for now ni bifu la king of all social media na Mange.. Mengine haya ni ma gossip ambayo ni kama ya kutunga tunga hivi.. Yamejificha ficha not open to the audience
Acha upashkuna kukosanisha watu.Ukiona mwanamke au mke wako ameanza kukutukania mama yako mzazi directly or indirectly ujue anakudharau au amekudharau!! Ndomo inabidi ajifikirie sana kwa huyu mzazi mwenza!
hii post ya Zari kumsifia mama yake ni nzuri sana ila haikutakiwa iwekwe kipindi hiki ambacho ana timbwili na mama Diamond.Just thinking loud......Hahahaaaaaa kwa hasira kwa nini utajijua, kamsifia mama yake kutokana na alivyopenda na maisha anavyoyaona.. anayeweka watu kwenye ujumbe wake atajiju na anayejiweka atajiju... Ukweli ndio huoooooo...mama Zari huwa hasemwi ovyo au kutafuta kiki mitandaoni...
Guru wa kusemwa huyooooo...
Unamtukania nini kwa kumsifia mama yake? Nanyi msifie wenu.
Na bado tena na pesa anazidi kuingiza kwa jinsi anavyojua kujiweka...eeeeh acha aandike instagram account ni yake. Aaiyetaka akale ndimuuuuuuuu ajijue
Ukitaka piga simu chini sio kuita watu wapumbavu, umeumia hadi macho na roho imataka kukupasuka kisa ni mke wa Diamond Platnumz aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari aka baba wa kambo wa watatu....eeeeh