Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

wamezidi na wao mtu na binti yake uswahili mwingiiii. Tandale kuna nyumba lkn ndiyo kutwa kujazana madale kaeni mtulie sasa hakuna wamejaa shari na ukuwadi. Huyo bi mkubwa naye hakui anajiona mtoto eti naye ana boyfriend. Halafu hata Dai hakupost picha hata moja ya birthday ya Bi sandra.
 
Hehehe ila Baraka anaonekana atakuwa wa moto sana si kwa weusi huo,
Ilioneshwq picha ya tifah akiwa hajaeditiwa si mweupe vile

Jua jua baya inatokeaga haswa ukienda mji linalowaka haswa.

Miaka michache iliyopita nilienda mji fulani, nilikomaje sirudiii tena kujiachia kwenye jua hivi hivi
 
Huyu Zari mbona yeye hayuko kama mama yake? Kwa lugha nyingine alishindikana kimalezi na ndiyo sababu yuko vile. Na akiendelea kuvaa hayo madudu muda si mrefu atakuondoka kwenye kiwango cha uswahili alichonacho sasa. Sijui atakuwa kitu gani!.

Eeeh unahamu ashuke, Zari ana miaka mingi kwenye udaku wa media. Hajaanza leo, ya hapa nchini kwetu ni madogo kwake na ndio maana anajiamini...na mimi nazidi kupenda hivyo anavyofanya.

Mwanamke wa kiganda, uhindi n.k. yupo juu
 
Nakuunga mkono Mkuu hawa wakwe wakati mwingine huwa wanakosea sana kutaka kuingilia maisha ya watoto wao ambao wameshakuwa watu wazima. Ukiwaangalia Zari na Diamond wanapendana kiukweli na umri wa Zari hauhusu chochote kwenye mapenzi ya mke na mume.

Mapenzi ya wawili mama mond amuache mwanae ajismamie.
Mambo yakumkuwadia mwanae na kumwambia anataka watoto zaidi ajue anamfundisha mwanae kut*ana bira kinga.anamtafutia ukimwi wa bure bure.
 
Eeeh unahamu ashuke, Zari ana miaka mingi kwenye udaku wa media. Hajaanza leo, ya hapa nchini kwetu ni madogo kwake na ndio maana anajiamini...na mimi nazidi kupenda hivyo anavyofanya.

Mwanamke wa kiganda, uhindi n.k. yupo juu

Matumizi ya media siyo kwa sababu ya uswahili wa kipumbavu!. She could use media more productively zaidi ya malumbano na upumbavu wa kijinga kukaa anatukanana na watu, ni upumbavu. Mtu yeyote mwenye vision hawezi kupamba maisha yake kwa kutukanana na watu, kuchimbana kishenzi na kukalia maisha binafsi ya watu kama haya. Ni upumbavu hata kumsifia.

Kama ni celebrity mwenye vision, hasikuwa na muda wa kulumbana upumbavu kila kukicha.
 
Exactly, hilo ni dongo limetupwa gizani upande wa pili. Hii movie mwisho wake mtamu. Yote kwa yote hakuna mama yeyote duniani anaefurahia mtoto wake wa kiume mdogo akaenda kuoa jimama lenye watoto watatu, na kumfurahia ni mkwe.Wa mama wengi hufurahia kijana wake akifungua chungu kikiwa kipya yeye akiwa ndo alifu atii.Napita tu.
Walikuwa wapi mpaka akawazalia kama walijua bi mzee?? Alafu mama dai kutwa kumpost mtoto wa esma na kumtenga wa zari, hapa analenga kumuumiza nani?zari au dai , bureeee kabisa
 
Matumizi ya media siyo kwa sababu ya uswahili wa kipumbavu!. She could use media more productively zaidi ya malumbano na upumbavu wa kijinga kukaa anatukanana na watu, ni upumbavu. Mtu yeyote mwenye vision hawezi kupamba maisha yake kwa kutukanana na watu, kuchimbana kishenzi na kukalia maisha binafsi ya watu kama haya. Ni upumbavu hata kumsifia.

Kama ni celebrity mwenye vision, hasikuwa na muda wa kulumbana upumbavu kila kukicha.

Hahahaaaaaa kwa hasira kwa nini utajijua, kamsifia mama yake kutokana na alivyopenda na maisha anavyoyaona.. anayeweka watu kwenye ujumbe wake atajiju na anayejiweka atajiju... Ukweli ndio huoooooo...mama Zari huwa hasemwi ovyo au kutafuta kiki mitandaoni...

Guru wa kusemwa huyooooo...

Unamtukania nini kwa kumsifia mama yake? Nanyi msifie wenu.

Na bado tena na pesa anazidi kuingiza kwa jinsi anavyojua kujiweka...eeeeh acha aandike instagram account ni yake. Aaiyetaka akale ndimuuuuuuuu ajijue

Ukitaka piga simu chini sio kuita watu wapumbavu, umeumia hadi macho na roho imataka kukupasuka kisa ni mke wa Diamond Platnumz aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari aka baba wa kambo wa watatu....eeeeh
 
zarithebssladyy-1468698298136.jpg

Snapchat yake hiyoooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Warumi habar ya mjini for now ni bifu la king of all social media na Mange.. Mengine haya ni ma gossip ambayo ni kama ya kutunga tunga hivi.. Yamejificha ficha not open to the audience
Hahahaaaa.. Aisee hii vita lemutuz aachane nayo...hii ligi haiwezi...
Sio kwa zile knockout
 
Ukiona mwanamke au mke wako ameanza kukutukania mama yako mzazi directly or indirectly ujue anakudharau au amekudharau!! Ndomo inabidi ajifikirie sana kwa huyu mzazi mwenza!
 
Hahahaaaaaa kwa hasira kwa nini utajijua, kamsifia mama yake kutokana na alivyopenda na maisha anavyoyaona.. anayeweka watu kwenye ujumbe wake atajiju na anayejiweka atajiju... Ukweli ndio huoooooo...mama Zari huwa hasemwi ovyo au kutafuta kiki mitandaoni...

Guru wa kusemwa huyooooo...

Unamtukania nini kwa kumsifia mama yake? Nanyi msifie wenu.

Na bado tena na pesa anazidi kuingiza kwa jinsi anavyojua kujiweka...eeeeh acha aandike instagram account ni yake. Aaiyetaka akale ndimuuuuuuuu ajijue

Ukitaka piga simu chini sio kuita watu wapumbavu, umeumia hadi macho na roho imataka kukupasuka kisa ni mke wa Diamond Platnumz aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari aka baba wa kambo wa watatu....eeeeh
hii post ya Zari kumsifia mama yake ni nzuri sana ila haikutakiwa iwekwe kipindi hiki ambacho ana timbwili na mama Diamond.Just thinking loud......
 
Back
Top Bottom