Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Mmmh hii kweli whtsp ya chibu au watu wametengenezw
 
Kweli adui muombee njaaa..... Kwa Hiyo sasa hivi uchafu wa simba unasafishwa na nyodo za zari....

Naona team miss tz 2006 shangwe tuu dah
Jamani uko nchi gani. Dada wawatu kashavunja team let her rest in pieces Jamani. Hausiki hapo kabisa. Yani amekana team yake kwahiyo mwache apumzike kidogo plz plz
 

Stress anapewa na bwana ake ambae anapenda kuchovya chovya
 
But hii kitu inaweza pandwa na vidudu mtu vile vile...mi nna amini hii kitu ni mpango shetan ESMA NA MAMA YAKE hawashindwi kitu wa tandale wale....wao wana access na chumba cha dai..wamefanya kumkera zari i believe that..
Kwann diamond aweke ile dp ya hamisa whtsp na status ya vile
 
Sisi wanawake wa Dar hutujui jana nimeisaka na namba yake Mondi kwajinsi navyopenda ubuyu nkaipata. Kilikua na emoji kanacheka. Ngachoka
Duuuh asee Kama ni kweli zari ameshachokwa akubali ukweli tu, sio kwa dharau hizo ila alianza pale alipimwambia atoe mimba zari akakataa
 
Me siwalaumu hao mapaka shume, watu wanatembea na waume za watu, itakuwa baby daddy wa mtu. Mbaya wa zari ni Dai period. Watu wanaona fursa kwa Dai, na aombe tu hiyo michepuko isije ikabeba mimba na yenyewe

Douta, hebu nipe ufafanuzi wa huu uhusiano wa Diamond na Zari ili na mimi nikeep up na hii thread, hasa kwa kunifafanulia haya:-

1. a) Zari akiwa South huwa anakaa wapi? Make kuna siku niliwahi kuona posts za yeye yuko swimming pool ambayo Ivan pia alipost akiwa hapo (Evelyn Salt alituwekea humu kama sijasahau).

b) Kama jibu la hapo juu ni ndiyo, je huwa analala chumba cha peke yake au wanachangia chumba na Ivan?
Kama jibu la a) ni hapana, basi swali b) halina nafasi.

2. Birthday ya Tiffah (Mtoto wa Taifa) ilifanywa ya upande mmoja tu, wa mama, na kwenye hii Birthday inaonekana Ivan alishiriki bega kwa bega na alitoa hadi zawadi, na Zari alimpost Ivan.

Sasa je, nini kilimtatiza Diamond kusafiri au Mama Tiffah kumleta mtoto kwenye Birthday Party ya huku Dar?

3. Zari anaweza kukaa South kwa muda wa zaidi ya miezi hata miwili bila D kukutana naye, je D aendelee kuwa anadubiri?
 
Teh nyumba ya south si ni ya watoto??, sidhani kama Ivan naye huwa anakaa hapo. Ingawa najua anaenda kwa watoto wake anytime. Na wanaonana Na zari mara kwa mara kwa ajili ya watoto.

2. Nasikia plan ilikuwa wafanye birthday 2. Moja kule south, afu waje wafanye Na ya taifa. Afu kesho yake kulikuwa Na birthday ya yule mtoto wake mwingine. So alibaki kucelebrate Na birthday ya baby boy wake pia. Sijui ikawaje birthday ya Tz haipo hadi leo.

Ivan Na Zari wametengana ila wanashirikiana vizuri kwa ajili ya watoto wao+ ni business partners sijui. Ivan alimpa zawadi tiffah kama tu mwanae I guess. Mbona diamond huwa anawapost boys wa zari pia?? Kwa kweli mahusiano ya hawa watatu nafikiri wanayaelewa wenyewe vizuri, maana kumuona "mkeo" close hivyo na baby daddy wake, wanaume wa bongo hawaelewagi hilo

3. Sijui makubaliano yao yakoje kwa kweli. Ila baby ako akiwa mbali si inabidi uvumilie tu au hahaha

 
Mngekua mnachangia na topic zinazohusu kulipishwa tanesco, kulipishwa ving'amuzi etc, walahi hii nchi ingekua mbali.
 
Duuuh asee Kama ni kweli zari ameshachokwa akubali ukweli tu, sio kwa dharau hizo ila alianza pale alipimwambia atoe mimba zari akakataa
Alafu ukute amejua zari anaendelea na Ivan maana kule kwa madiba bado anaishi nyumba ya Don ndomaana alimununulia Tee nyumba kusudi akienda wasikutanie kwenye nyumba ya Don. Kwahiyo behind the scene kuna mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…