Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Wanye fuso kabsa maboga kitu gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanamchora tuuu!!
anavyohashua hashua!!

mwanamke mchafu hatari hata kunyoa vuzi hajui,hajui kufagia hata chumba!!

Bibi kakutana na kiboko yake!

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Mwanaume anaekuthamini hawezi ht kwa hisia kuleta mchepuko nyumbani!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenye nyumba kobee!!

Nyumba ya diamond na mamake ile!

Zari hata uchumba hana yy mashine tu la kutotolea watoto!



Katoa kwa Ivan kamaliza kaja kwa mondi akitoka hapo anaenda Kenya kwa Prezooo au jagwaaa!!
Hahahahaj

Kuna memba mmoja huwa anamteteaga sana mondi na zari

Ngoja aje

Au nimuite

Maana si kwa makavu haya
 
Miaka 62 bado unapumuliwa si unaewza kufa! Huyo atakuwa ametumia fertility medication akafanyiwa Intra Vitro fertilization (IVF) siyo kwa kukushupaliwa.
Kuzaa kuzaa tu

Mradi mimba amebeba na leba kaingia

Hivi huda alimwambia zari kuwa ni ambassador wa wapi vile??????

Hahahaha
 
Tangu lini mama akarithi Mali za mwanae???kwani chibu hana mtoto??Mali za tiffa,zari ni mke wa dai mana wameishi kiunyumba kwa zaidi ya miez 6
Endeleeni kujifariji

Tena hivi Domo ni muislamu yelewiiiiii

Hata tiffa hana urithi

Unless Domo aandike wosia...sembuse huyo anayekaa dar wiki 3 SA miezi 2????


Hahahahah

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] timu vuzzzilady leo mtatutoa ngozi kwa kisoda
 
Maboga hayanyewi wala nini binamu

This time Hamisa ataacha khanga na pants kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halahala binamu

Kibongobongo child support inaweza ikawa 50,000.00 kwa mwezi

Haitoshi hata shopping ya nguo za mr price au woolworth ya SA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Bora akomae anunuliwe nyumba SA..(hapo atatoka mrithi).angalau atoke kwenye ile nyumba ya sasa anayokaa kwa hisani ya Ivan (halafu wabongo mmeisifiaaa kumbe nyumba ya kawaida ti)
 
Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!

Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....

Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
Acha kumponda Dada wa watu.

Muache ajinafasi mapenzi hayaangalii miaka wala uzee.

Kuibiwa inauma sana hata ungekuwa wewe lazima ungemaindi.

Kuzaa nako ni kujielewa kuliko wale wanaopata mimba na kuzitoa au kutelekeza watoto wao chooni.

Hata humu wapo wengi sana.
 
So yeyote anaweza kuzaa ...sio kitu kikubwa tena kwa dunia ya sasa kumringishia mtu kama yeye anavyoringisha
Mpuuzi yule!!

Age mate wenzie wametulia tulii!!

Kuna umri ukifika drama unaweka pembeni!!

Ila huyu bibi hataki kukubali matokeo
Hamisa mdogo sana kwake tena anamnya yule huku kasimama!

Mtu mzima hovyooo kabisa!!
 
Mpuuzi yule!!

Age mate wenzie wametulia tulii!!

Kuna umri ukifika drama unaweka pembeni!!

Ila huyu bibi hataki kukubali matokeo
Hamisa mdogo sana kwake tena anamnya yule huku kasimama!

Mtu mzima hovyooo kabisa!!
Zari kakukosea nini?

Acha chuki kwa binadamu mwenzako

Siyo busara hata kidogo
 
Dharau ya hali ya juu

Yaani kitanda anacholala yeye ndicho alicholala Hamisa...

Hahahah

Na wengine ambao hawajulikani[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] mwanaume anayekuheshimu haleti mwanamke mwingine
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatumpondi tunampa fact!!

Kataka mwenyewe kutoka na vitoto vidogo!

Utu uzima nao dawa kwa nini anapiga kelele!

Angetaka asipondwe asingekua anaexpose ishu zake mitandaoni!
 
Dharau ya hali ya juu

Yaani kitanda anacholala yeye ndicho alicholala Hamisa...

Hahahah

Na wengine ambao hawajulikani[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] mwanaume anayekuheshimu haleti mwanamke mwingine
Umeona eeeh!!tena ndani kwako mie ntakusamehe yote Ila kitendo cha kuleta mwanamke mwingi e ndani!
I can't forgive!
 
Zari kakukosea nini?

Acha chuki kwa binadamu mwenzako

Siyo busara hata kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi story tu za celebrity huku ni full kupondwa...

halafu hata simchukii huwezi amini!

Ila kitendo alichokifanya sicho kizuri!!

mbona tunamsifiaga pale anapofanya vzr!!
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…