samia dulla
Member
- Aug 28, 2016
- 22
- 27
Wamezidi sana hawo wasanii umalaya tuu ndowanajua hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanye fuso kabsa maboga kitu gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Zari ndo kashasema sasa, umesikia diamond au mama ake wakibisha?? Chezeya mama mwenye nyumba weyeee
Nyumba ya tiffah binamu sio ya mama ndomo ujue, halafu too baaad baby boy anakujaaa mbona team zari tushaiteka madaleeee, weraaaaa madale yetuuu hamtaki kanyeni mabogaaaa, kama mlishindwa kuzaa zari anawaonyesheni sasa jinsi ya kuzaa, bwaaaaaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanamchora tuuu!!Zari ndo kashasema sasa, umesikia diamond au mama ake wakibisha?? Chezeya mama mwenye nyumba weyeee
Nyumba ya tiffah binamu sio ya mama ndomo ujue, halafu too baaad baby boy anakujaaa mbona team zari tushaiteka madaleeee, weraaaaa madale yetuuu hamtaki kanyeni mabogaaaa, kama mlishindwa kuzaa zari anawaonyesheni sasa jinsi ya kuzaa, bwaaaaaah
Lakini mdomo kifelembebkamunyoosha.Wanye fuso kabsa maboga kitu gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaj[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenye nyumba kobee!!
Nyumba ya diamond na mamake ile!
Zari hata uchumba hana yy mashine tu la kutotolea watoto!
Katoa kwa Ivan kamaliza kaja kwa mondi akitoka hapo anaenda Kenya kwa Prezooo au jagwaaa!!
Kuzaa kuzaa tuMiaka 62 bado unapumuliwa si unaewza kufa! Huyo atakuwa ametumia fertility medication akafanyiwa Intra Vitro fertilization (IVF) siyo kwa kukushupaliwa.
Endeleeni kujifarijiTangu lini mama akarithi Mali za mwanae???kwani chibu hana mtoto??Mali za tiffa,zari ni mke wa dai mana wameishi kiunyumba kwa zaidi ya miez 6
Maboga hayanyewi wala nini binamuZari ndo kashasema sasa, umesikia diamond au mama ake wakibisha?? Chezeya mama mwenye nyumba weyeee
Nyumba ya tiffah binamu sio ya mama ndomo ujue, halafu too baaad baby boy anakujaaa mbona team zari tushaiteka madaleeee, weraaaaa madale yetuuu hamtaki kanyeni mabogaaaa, kama mlishindwa kuzaa zari anawaonyesheni sasa jinsi ya kuzaa, bwaaaaaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aje tu!!!Hahahahaj
Kuna memba mmoja huwa anamteteaga sana mondi na zari
Ngoja aje
Au nimuite
Maana si kwa makavu haya
umeona eeehh!!Waje tu hawajui maana ya celeb wakiongelewa wengine wafurahia ikifika kwa zari na Serengeti boi wake waanza mapovu
Halahala binamuSasa mwenzenu ata akiachika Leo bado child support ataipata kwa sana tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],chezeya zari weye, beauty with brain, unaambiwa demu mkali halafu Ana akili, mwachen zari wa watu aji enjoy na madale yake wakat tukimsubir baba mwenye nyumba mdogo kutoka kwa zari, pyeeeeeee
Acha kumponda Dada wa watu.Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!
Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....
Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
Mpuuzi yule!!So yeyote anaweza kuzaa ...sio kitu kikubwa tena kwa dunia ya sasa kumringishia mtu kama yeye anavyoringisha
Zari kakukosea nini?Mpuuzi yule!!
Age mate wenzie wametulia tulii!!
Kuna umri ukifika drama unaweka pembeni!!
Ila huyu bibi hataki kukubali matokeo
Hamisa mdogo sana kwake tena anamnya yule huku kasimama!
Mtu mzima hovyooo kabisa!!
Dharau ya hali ya juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanamchora tuuu!!
anavyohashua hashua!!
mwanamke mchafu hatari hata kunyoa vuzi hajui,hajui kufagia hata chumba!!
Bibi kakutana na kiboko yake!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Mwanaume anaekuthamini hawezi ht kwa hisia kuleta mchepuko nyumbani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatumpondi tunampa fact!!Acha kumponda Dada wa watu.
Muache ajinafasi mapenzi hayaangalii miaka wala uzee.
Kuibiwa inauma sana hata ungekuwa wewe lazima ungemaindi.
Kuzaa nako ni kujielewa kuliko wale wanaopata mimba na kuzitoa au kutelekeza watoto wao chooni.
Hata humu wapo wengi sana.
Hawajui uzalendo kwanza[emoji85] [emoji85] [emoji85]umeona eeehh!!
ndo tunamuongelea km wanavyoongelewa wengine!!
walitarajia tumponde missa baby!!
akkaaahh!
Umeona eeeh!!tena ndani kwako mie ntakusamehe yote Ila kitendo cha kuleta mwanamke mwingi e ndani!Dharau ya hali ya juu
Yaani kitanda anacholala yeye ndicho alicholala Hamisa...
Hahahah
Na wengine ambao hawajulikani[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] mwanaume anayekuheshimu haleti mwanamke mwingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yap sio kwenye kupiga kura tu!Hawajui uzalendo kwanza[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi story tu za celebrity huku ni full kupondwa...Zari kakukosea nini?
Acha chuki kwa binadamu mwenzako
Siyo busara hata kidogo