Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Basi kama Zari na Don bado ni business partners then Salome na Mondi pia business partners. Nasijui watu wanakata mondi kuweka salome DP. Mondi mswhili sana, hamkumbuku tangu yuko na wema mara kumrikodi akiomba msama. Wema kweli alikua tolerant. Mara kumuimba kwenye nyimbo. Mara kusema kidoti matapishi. Mara Penny anajipendekeza kwa maza Kwahiyo kumueka zee kwenye dp is just a simple thing. History repeats its self. Acha movie endelee cc. Me and I
True kabisa, wacha movie iendelee ila Kama ni kiki imeuza sana
 
Basi kama Zari na Don bado ni business partners then Salome na Mondi pia business partners. Nasijui watu wanakata mondi kuweka salome DP. Mondi mswhili sana, hamkumbuku tangu yuko na wema mara kumrikodi akiomba msama. Wema kweli alikua tolerant. Mara kumuimba kwenye nyimbo. Mara kusema kidoti matapishi. Mara Penny anajipendekeza kwa maza Kwahiyo kumueka zee kwenye dp is just a simple thing. History repeats its self. Acha movie endelee cc. Me and I
Kanywe Pepsi kwa mangi bill kwangu tafadhali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mungu anawaona ujue!
Vanesa kapanic kweli kasome watu wamkome na rangi yake
1474566559922.jpg
 
Mmh binamu sio kwa tako like, kama mjaluo, halafu sijui Ana ukurutu jaman, loh yan uson yupo vzur huko nyuma sasa, mmh cjui kwa bibi patakuaje
Hahaaaaa Vanessa kaniacha hoi kapost video na make up kaji edit tena anaonyesha eti had mguu. Huku ni kupatwa kwa Vanessa
 
Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!

Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....

Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!

Usijali.... kwenye swala la usafi niachie. Ntakuogesha
 
Back
Top Bottom