Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Nimekutafuta kila sehemu nikakukosa. Hatimaye nikakumbuka sehemu ya kukupata.... mrembo unapenda ubuyu sijapata kuona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

wambea tuna maisha marefu duniani!!
 
Mangi hataki mkopo binamu, mtumie kwa mpesa ashushie Pepsi baridiiiii ila sio pepsi ya Vanessa aiseeh [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

looh!

mi nakapenda ka Vanessa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

wambea tuna maisha marefu duniani!!
Ole wako nikufumanie....

Hivi kale kabikini ka pink nlikokununulia... ukikisahau kwa buzi lako....unategemea ntakusamehe??
 
Back
Top Bottom