Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!

Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....

Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
Zari ni mzee[emoji15] ,unaambiwa mtoto anainekana kama ndo ana 19 yrs,mtoto mzuri bhana,acha wivu
 
Aah tushaiteka nyumba ya madale(tiffah) na badoooo mtaishia kuchezea uduu mwaka huh mpaka mkome, nyie mtaishia kuwa ma video queen tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mamaeee domo mwenyew anajua madem wa Tz kichwan zerooo
 
We ngoja tu

Maumivu ya kichwa huanza mdogo mdogo

Bibi tukinao ndio ajue aache mbwembwe
 
We ngoja tu

Maumivu ya kichwa huanza mdogo mdogo

Bibi tukinao ndio ajue aache mbwembwe

Huyu boss labour nae hana akili kabisa kwa miaka alokaa Na Ivan leo alitakiwa awe na ma biashara ya maana east africa... Lakini Wp hana tofauti na wauzaji wa hapa[emoji23]
 
Huyu boss labour nae hana akili kabisa kwa miaka alokaa Na Ivan leo alitakiwa awe na ma biashara ya maana east africa... Lakini Wp hana tofauti na wauzaji wa hapa[emoji23]
Huyo ni muuzaji wa kimataifa

Ndio maana Mary luswata alimwambia utanu wake ni sawa na "un summit"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kimbwi222nini
bi tukinao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!

tunaitwa haters
Hahahaj hilo jina la bi tukinao nililipata kwa kimbwe222

Kwanza ilinichukua muda kujua anamsema nani

Nilipogundua ikabidi nicheke tu
 
Binamu eeeh!

hebu tuachane na hawa tuletee wa V money na kikaptula chake makalio yameonekana!

Japo nampenda Vanessa Ila mlete hapa!
 
Binamu eeeh!

hebu tuachane na hawa tuletee wa V money na kikaptula chake makalio yameonekana!

Japo nampenda Vanessa Ila mlete hapa!
Hahahaha hivi ile picha ni ya vanessa kweli????? Kama ndio kweli camera 36,000 inasaidia
 
Hahahaj hilo jina la bi tukinao nililipata kwa kimbwe222

Kwanza ilinichukua muda kujua anamsema nani

Nilipogundua ikabidi nicheke tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila kweli moyo mashine

maana ile michambo ya IG wafwa hapo hapo!!

watu wabaya!
Huyo ni muuzaji wa kimataifa

Ndio maana Mary luswata alimwambia utanu wake ni sawa na "un summit"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh!
 
Hahahaha hivi ile picha ni ya vanessa kweli????? Kama ndio kweli camera 36,000 inasaidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo yeye live shoga angu nakuambia hivi!
hawa mastaa wetu tukikutana nao wakawaida sana tu!!

Sema ndo hvyo iPhone lazma chunusi km yangu iwe foundation
 
Jipeni moyo [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji23] [emoji12]
 
Hahahaha hivi ile picha ni ya vanessa kweli????? Kama ndio kweli camera 36,000 inasaidia
Tena ubuyu wa Vanessa nilikuwa nataman niukute huku,mana insta umenoga hatari,kupatwa kwa vitako[emoji23] [emoji24]
 
umeona eeehh!!

ndo tunamuongelea km wanavyoongelewa wengine!!

walitarajia tumponde missa baby!!

akkaaahh!
Teh zari naye alijiona ana hati miliki mno na huyo chibu nikikumbuka alivokuwa ana mnanga Wema na shauzi kiruu alijua ni wake tu. Sasa kimemugeukia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo yeye live shoga angu nakuambia hivi!
hawa mastaa wetu tukikutana nao wakawaida sana tu!!

Sema ndo hvyo iPhone lazma chunusi km yangu iwe foundation
Mwenzangu vanesa anaitendea haki camera 360
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…