[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenzangu vanesa anaitendea haki camera 360View attachment 405093
True kabisa, wacha movie iendelee ila Kama ni kiki imeuza sanaBasi kama Zari na Don bado ni business partners then Salome na Mondi pia business partners. Nasijui watu wanakata mondi kuweka salome DP. Mondi mswhili sana, hamkumbuku tangu yuko na wema mara kumrikodi akiomba msama. Wema kweli alikua tolerant. Mara kumuimba kwenye nyimbo. Mara kusema kidoti matapishi. Mara Penny anajipendekeza kwa maza Kwahiyo kumueka zee kwenye dp is just a simple thing. History repeats its self. Acha movie endelee cc. Me and I
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hebu ongezea " utazikwa nayo roho mbaya na choyoo" tiriritiriri tiriiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nami naonaBinamu utamuwezaa....
hapo hampendi hamisa hapo!
Kanywe Pepsi kwa mangi bill kwangu tafadhaliBasi kama Zari na Don bado ni business partners then Salome na Mondi pia business partners. Nasijui watu wanakata mondi kuweka salome DP. Mondi mswhili sana, hamkumbuku tangu yuko na wema mara kumrikodi akiomba msama. Wema kweli alikua tolerant. Mara kumuimba kwenye nyimbo. Mara kusema kidoti matapishi. Mara Penny anajipendekeza kwa maza Kwahiyo kumueka zee kwenye dp is just a simple thing. History repeats its self. Acha movie endelee cc. Me and I
Woyoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]na ambae hajwahi kutokwa na utoko...
awe wa kwanza kumpiga jiwe hamisaa...
afu k chafu ina ladha yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Mm naona anatafuta kiki aendelee kuongelewa naye Bibi wa mwendokasiNa watu wangeendelea kumshobokea ka mimba ya tiffah ya huyu mtoto asingefikisha mwaka angebeba tena. Anapenda attention alishaona wabongo wamshobokea Uganda hawana hata mda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na uzee wake donge la video ya Salome limemkaba rohoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kanywe Pepsi kwa mangi bill kwangu tafadhali
Bibi wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm naona anatafuta kiki aendelee kuongelewa naye Bibi wa mwendokasi
Vanesa kapanic kweli kasome watu wamkome na rangi yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu anawaona ujue!
Ndo zake ka kipindi kile akiona kimya anamchokoza Wema ili achabwe na timu WemaMm naona anatafuta kiki aendelee kuongelewa naye Bibi wa mwendokasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh binamu sio kwa tako like, kama mjaluo, halafu sijui Ana ukurutu jaman, loh yan uson yupo vzur huko nyuma sasa, mmh cjui kwa bibi patakuaje
Vanesa kapanic kweli kasome watu wamkome na rangi yakeView attachment 405115
Hahaaaaa Vanessa kaniacha hoi kapost video na make up kaji edit tena anaonyesha eti had mguu. Huku ni kupatwa kwa VanessaMmh binamu sio kwa tako like, kama mjaluo, halafu sijui Ana ukurutu jaman, loh yan uson yupo vzur huko nyuma sasa, mmh cjui kwa bibi patakuaje
Zari hivi yule mama anajiheshimu au kujielewa hata maana ya stara!
Uzee ule watoto wanne na mimba juu bado anatafuta cheap popularity.....
Asante Mungu kunifanya nijitambue japo sio msafi na mkamilifu!!!
[emoji1] [emoji1]ur back hnyy!!Usijali.... kwenye swala la usafi niachie. Ntakuogesha
Nimekutafuta kila sehemu nikakukosa. Hatimaye nikakumbuka sehemu ya kukupata.... mrembo unapenda ubuyu sijapata kuona.[emoji1] [emoji1]ur back hnyy!!