Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Zari amuumbua Hamisa Mobeto, aanika Live uchafu wake na Diamond

Bosslady zari!!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

shoga na sie vibibi!!!

Ngoja ntafute dogodogo rayvanny mie!

Nimzalie!!
Mie sijui nijisogeza kwa yule wa wolper??? (Ila hana mvuto yule, lakini nitafumba macho) hahahah
 
Mie sijui nijisogeza kwa yule wa wolper??? (Ila hana mvuto yule, lakini nitafumba macho) hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mvuto utakukuta huko huko
 
But hii kitu inaweza pandwa na vidudu mtu vile vile...mi nna amini hii kitu ni mpango shetan ESMA NA MAMA YAKE hawashindwi kitu wa tandale wale....wao wana access na chumba cha dai..wamefanya kumkera zari i believe that..
Nakuunga mkono asilimia zote,familia ile ina uswahili sana.
 
Angekuwa mzuri asingeachwa na majizooo,haha lulu kamzid atamuweza zari ...Malaya tu
Uzuri sio kigezo cha kutoachwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
team Zari mlie tu!
Muambieni kuzaa hata nyau anazaa!!

Wapiiii!!!Hamisa siku ingine usahau nguo kabisaaa!!

Kanikosha sana BEST DRESSED LADY IN AFRICA

Katoto kana mauno balaaa

Mganda mvivu wa usafi wa chumba hadi kiuno!!
 
Timu yake wakija lazina watunyonyoe ngozi kupitia keyboard [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nakuambia wanajirejista jf kwanza

Wakifika celebrity forum!
Mi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Namhurumia lakini

Ubosslady uliletwa na Ivan

Hata wanaosema kuwa wana share na ivan mie nina mashaka maana si kwa kudorora huko... mpaka kufikia level za kukimbizana na kina Hamisa
Yeye kamkacha Ivan ili afate umaarufu madai yake hapo anajifananisha na Kim kardashian na Kanye west wa East Africa atii sasa kina hamisa watamfanya kichaa.
 
Ya kwake

Farook alimrekodi wakati akijiskype kama sikosei

Full msitu wa congo kama sio amazon
Hivi ka alikua anajikojoza mwenyewe ndo atakaa two months bila kuonana na chibu asimkumbushie mzazi mwenziwe. Nadhani hata dai anamlipizia kiaina.
 
Bi kizee anakuwa na miaka 34? Umri huu bado ni wa uzazi, ndoa na urembo. Kwenye miaka 45, 50, 60, 70 ataitwa nani? Si vema kumkashifu mtu kiumri. Dai kampenda mbele yenu nyie mnajiona visichana. Zari ana heshima yake kifedha, kiurembo, kisura, kiexposure, kibiashara, kimakazi, usafiri, uzazi watoto na malezi yao.Zari is real a Boss Lady.
Tuonyeshe sources zake za income mkuu anazomiliki kwa jina lake siku hizi kuwa na gari mbona kitu cha kawaida tu na sio ufahari ni usafiri.
 
Yeye kamkacha Ivan ili afate umaarufu madai yake hapo anajifananisha na Kim kardashian na Kanye west wa East Africa atii sasa kina hamisa watamfanya kichaa.
Ila acheni masikhara hurumaaaa

Alivyoingia kwa nyodo masikini

Hawajui wabongo
 
Back
Top Bottom