Zari Amvaa Mange Kimambi..

Hahahaaa herufi tatuTununu Inofu Winome kama kihehe kinapanda utaelewa
Kuna clip P Square naona kamponda sana domo lakini body language yake tells you all....kuna kijimambo
Walikuwa na wanabinjuka kwenye nyumba ya mwenyewe
Kwa kupanic huku kwa binTukinao utajua kuna kitu anajaribu kuficha
Zari akiongea Kiswahili utafikiri hana meno kigugumizi kwa sana
Kiswahili watuachie wenyewe wenye nacho
 
Kabisa hata body language ya Zari pia alipokuwa akimjibu DP ilikuwa si ya kawaida ilionyesha kutojiamini na hata macho yako yalionyesha kwamba alikuwa hasemi kweli.

Ila zari mwehu , wanazengo mmeona video ya zari anamringishia mange kitu cha Gucci and Versace , eti anamwambia mange I know you want this 🤣🤣🤣, yan zari mwehu , atamuua mwenzie kwa pressure hajawah vaa Gucci
Mange anavaa Vijinguo vya makahaba wale wa short time! Kitamba mita moja short enough to draw clients attention and long enough to cover essential parts! Picha yake anapigia toilet za guest house. Maisha ya ZARI yanamtoa roho.
 
Kwa jinsi nilivyoona ni kama zari ndo amepanic!!....mange ka relax ana mchokonoa na zari kajaa!mange analicheza game vizuri sana!
 
MwanaHarakati huyu ana Wivu kwa Zari hadi kupitiliza. Oh Mara SAA ya Rolex imetoka kidude, Mara Gucci fake, nyumba so yako. Sijawahi ona nyumba ya Mange nadhani anaishi Ghetto za California. Kwa kuwa anaishi hata ya Baba Kenzo IG kusingekalika! Zari anawaliza wadada wa IG jamani! Zari amebarikiwa kwa kweli
 
Mange anavaa Vijinguo vya makahaba wale wa short time! Kitamba mita moja short enough to draw clients attention and long enough to cover essential parts! Picha yake anapigia toilet za guest house. Maisha ya ZARI yanamtoa roho.
 
Kwa jinsi nilivyoona ni kama zari ndo amepanic!!....mange ka relax ana mchokonoa na zari kajaa!mange analicheza game vizuri sana!
Huu ndio ukweli. Zari kapanic sana. Yale matusi na kufutafuta videos ni ushahidi kwamba kashikwa pabaya.

Mange is a professional provoker. Anajua kufanya bullying. Sio jambo la kumsifia maana anaweza kusababisha msongo wa mawazo kwa victim, hata kifo..

Ila wote wamekutana vichwa maji na wanasumbuliwa na mid-age crisis. Wote. Tuwaombee!
 
Mwana harakati nae enzi zake alijua kuturusha roho blog yake alikuwa na show off kuliko zari lakin sasa hivi hana cha kushow off lazima aumie na maisha ya wengine kuona wana trend na vitu vya fake sijui vya kukodi kwa iyo tumuelewe tuu dada wa taifa
 
Naweza kuupata msambwanda wa zari kwa buku jero ? - anauliza Diamond
 
Ni kweli alikuwa ana mchokoza tuu makusudi ili zari apanic aanze kusema hii nyumba labda sio ya diamond labda walipanga au vinginevyo nafikiri zari hamjui mange vizuri kuwa ni mtu wa kupuuzwa na si wakumsilikiza na ni bingwa wa ku bully
 
Hivi hiyo blog yake ya mashauzi bado iko active?nataka nikasome mbwembwe zake
 
Ukimuuliza mange anagombea nini na zari hana jibu kabaki nyumba ya kaka[emoji23][emoji23][emoji23]kaka yupi,huyu huyu domo anayemdhalilishia mzazi kila kukicha aiseee
Haaahaaahaaa[emoji847][emoji847]
 
Mange anavaa Vijinguo vya makahaba wale wa short time! Kitamba mita moja short enough to draw clients attention and long enough to cover essential parts! Picha yake anapigia toilet za guest house. Maisha ya ZARI yanamtoa roho.

Lazima apanick, mtu kaachika, life limempiga, Hana mbele wala nyuma uko US, mwenzie zari kaachika ila bado Ana slay , naona walitaka kumuona zari akihangaika baada ya kuachana na domo, Ila ndo kwanza anazidi kushine, haters lazima wadate🤣🤣
 
Uachwe na Mmarekani tena alikua mume wa ndoa na umezaa nae lazima upate child support na uhakika wa mahali pa kulala watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…